Recent content by CHANGER

  1. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Siyo wa kubadilishana, nimeomba wa nafasi supervisor akaaprove baada ya hapo nikitaka kusubmit tena kwenda kwa mkuu wa idara inaniandikia " vacancy not budgeted"
  2. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Elimu, nipo mkoa wa mara
  3. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    N Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
  4. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Asante kwa ufafanuzi
  5. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  6. CHANGER

    Msaada dawa ya kuku kuharisha damu

    Ok ngoja niijarbu
  7. CHANGER

    Msaada dawa ya kuku kuharisha damu

    vifaranga vya kuku wa kienyeji vinajisaidia kinyesi kilichochananyikana na damu nimejaribu tumia esb3 kwa mda kama wiki na nusu ila bado tatizo linaendelea
  8. CHANGER

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo tarime nije kaskazini. Idara sec
  9. CHANGER

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani mbona sijawahi ona mtu anayetaka kuja Tarime? Au watu hawapendi kurudi kwao, Jamani rudini kwenu na si twende kukaa na familia zetu!
  10. CHANGER

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mara wilaya ya Tarime nije arusha au Kilimanjaro
  11. CHANGER

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mara wilaya ya Tarime nije arusha au Kilimanjaro
  12. CHANGER

    Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    tafadhal hiyo nukuu inapatikana kitabu gan
  13. CHANGER

    Nyumba inauzwa moshono arusha 15ml haijakamilika.

    Kuna barabara yakuingilia
  14. CHANGER

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    huwez toa mwanafunz shule ya private ukampeleka serikalin
  15. CHANGER

    Serikali imetoa mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliotuma maombi 2015

    Mmm mbona sasa wapo hawajapata mpaka leo
Back
Top Bottom