Serikali hii inayoongozwa na CCM ni janga la kitaifa,watu wanatafuta mafao ya kwenda kula maisha baada ya bunge kuisha 2015..huwa nashindwa kuelewa kama kweli sisi watanzania ni kama watu wengine...nafikiri tumetoka sayari nyingine duniani!!
nafikiri kama mawazo yako yanataka kufanana na ya kwangu!!! nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu huu mtu DR.Benson Bana, baada ya Mkandala kuukwaa uongozi kama vice chancellor pale mlimani kupitia REDET(Kusifu Mgamba)na baada ya MTU MWENYE JINA GUMU aliyeteuliwa tume ya warioba sijui Palamagamba...
Huyu jamaa alionyesha uwezo mdogo sana wa kiongozi na utawala alipokuwa pale Sikonge kama mkuu wa Wilaya!! achilia madudu aliyofanya akiwa Mhandisi pale MZA,nashangaa kwa uwezo wake huo mdogo leo amekuwa Naibu waziri... au tuamini yale maneno yake kuwa jamaa ni mshikaji wake kauli ambayo...
Kuendelea nchi hii haiwezi..angalia maisha yalivyo magumu watu wanavyotabika mahospitali,wakulima vijijini,bei ya nyakula iko juu,no body cares!! unganisha safari zote za mheshimiwa piga hesabu halafu chukua ripoti ya CAG kwa miaka 4 mfululizo uone hayo mabilioni yanavyopotea then jumlisha!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.