Recent content by Changchun yatai

  1. Changchun yatai

    Hotel ya Southern Sun - Weaver Birds

    Ipo mingi sana igunga, gunia la mbegu ukiwapa watoto buku tu wanakuletea mpaka mlangoni
  2. Changchun yatai

    Jomo Kenyatta (56) na Abdul Sykes (26) Katika Mkutano wa Siri, Nairobi 1950

    Tupe namba zao tukiagize kwa sisi tulip nje ya DSM.
  3. Changchun yatai

    Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

    Huyu balozi nilimuona na naibu waziri mkuu
  4. Changchun yatai

    Depression inaniua

    Batalokota mu nyavu, sawa na wacongoman
  5. Changchun yatai

    Depression inaniua

    Wabena, wakinga, wahehe hawawezi kutamka neno mpaka, wao husema MBAKA muulize kabla lake
  6. Changchun yatai

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Wewe hukuwa nao ni vipimo tu vilikosea kusoma.
  7. Changchun yatai

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Ni kisasi gani hicho ambacho ukoo mzima hautasahau
  8. Changchun yatai

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Unaposema lishe bora mkuu ebu tupe mfano chakula kipi au nini na nini ebu fafanua hapa mkuu
  9. Changchun yatai

    Niagize chochote Dubai

    Dhahabu gram moja inasimamia sh.ngapi huko,
  10. Changchun yatai

    Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    Mzee picha ya hiyo nyumba tafadhali
  11. Changchun yatai

    Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    Uko sahihi kabisa, kuna jarida moja nchini Nigeria lilitoa picha za wasanii mbalimbali picha kipindi wamepigika hawajawa maarufu na hawajawa na pesa, picha ya pili ni kipindi cha sasa kwa kweli ni vitu viwili tofauti,
  12. Changchun yatai

    Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

    Lakini yalioongelewa siyana ukweli ndani yake?
  13. Changchun yatai

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Tatizo tunahukumu kwa kusikiliza maneno ya upande mmoja, ni vyema na mwanamke tungepata wasaa wa kujua kwa upande wake ndipo tuweze kutoa ushauri mzuri.
  14. Changchun yatai

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Mambo ya ajabu haya unampiga mwanamke? Alafu aache ujinga wa kwenda kuhemea wapange bajeti amkabidhi mwanamke pesa atajua mwenyewe na kupangilia maemezi, inavyoonekana mwanamke anakosa hata pocket money kwa ajili ya mahitaji binafsi.
Back
Top Bottom