Recent content by chandeliar

  1. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Poleni Wanafunzi Mliokosa nafasi za kujiunga na vyuo vikuu 2017/2018

    Yaan inafikia hatua mtu anakata tamaa ya kusoma ila naamin Mungu yupo yote yanawezekana...inabidi waanze kua wajasiriamali uku wakisubiri chuo mwakan tena...waanze kujishuhulisha hii itasaidia hata kupunguza mzigo wa kuhangaika Na mikopo wakianza kuapply tena mwakani....
  2. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliokosa vyuo kwa mwaka huu wa 2017/2018 karibuni tupeane ushauri

    Hili in janga tena bomu kabsaa make weng tu wamekosa vyuo dis year mwenyez Mungu ashushe huruma zake kuwepo Na fourth round bas kama vipy subirien mwakan mtaapply tena jehovvah yu hai so no worries mtapata...
  3. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Vyuo vimeamua kucheza rafu: TCU iweni makini.

    Nakuna wengine hawajapata kabisaaa hatari chuo cjui watafanyaje
  4. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Selection za second round zinatoka lini?

    We We umepata mi hata suA hawajatoa majina bado apo ndo sielewi kqbisaa nahis kufa
  5. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Selection za second round zinatoka lini?

    OK
  6. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Selection za second round zinatoka lini?

    af naskia zmeshatoka...mi nsipojikuta cjui nihame nnchi make sio kwa upuuzi huu
  7. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Selection za second round zinatoka lini?

    Kwakeli Na inakera mnoooo...wananiboa Na hii system..aisee
  8. chandeliar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikutana na jini wa kike

    mauongo hayo we ngoja ije ikutokee ukweli utaisoma number
  9. chandeliar

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    ok ngoja tusubirie
  10. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Bachelar of Fine Arts and Design.

    na pia kuhusu mkopo anaweza aspate au apate it depends ila most of them hawapati hundred percent
  11. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Bachelar of Fine Arts and Design.

    mwaya mwayaa..io kozi ni nzur sana na pia the gud thing anapenda sanaa sasa apoo anaweza hata kujiajili atatoka tu tatizo wabongo tunacomplicate mambo..
  12. chandeliar

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa awe mkristu dhehebu yoyote umri kuanzia 27 mpaka 32

    Lol..Lyk serious kabisaa unatafuta mke humu..skushauri my friend...mke mwema anatoka kwa bwana ivo yan
  13. chandeliar

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    ndugu yangu inaonekana ni mtaalam wa haya maswala nsaidie bas na mm kuapply sua plzzz
  14. chandeliar

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    M mh ndugu yangu na ndo kinachofuata cjui maisha gan haya duh
  15. chandeliar

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    MH aisee mi nimesajili kwanza hata sjatumiwa invoice number wala cha nn imenigomea balaa cjui kuna tatizo gan sua wananiboa sio siri
Back
Top Bottom