Recent content by Chamwino2022

  1. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Sheria za uchaguzi zinedhsjsdiliwa tayari Bungeni bado Rais tu kuzisaini. CHADEMA mlikuwa wapi wenzeni wsnato maoni yao halafu imefika mwisho meaning mawazo ya wenzenu?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Wengi bado wanamkumbuka
  3. C

    JamiiForums Tanzania Marketing Officer

    Asante sana kwa tangazo. Vijana wengi hawana ajira wakiona tangazo hili wataandika maombi ya kazi wengi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Kwa wewe shida yako nini, tulia na wewe huenda ukateuliwa, Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Omar Ramadhan Mapuri ana umri gani, mbona bado anateuliwa?

    Ujue kwamba wazee ni dawa na wana busara sana
  6. C

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

    Azingatie Sheria na kanuni na maelekezo ya Uchaguzi. Wakala wa Chama chake cha Siasa kisheria, kikanuni na maelekezo ya uchaguzi ndiye anayetabulika kuhesabu, kujumlisga na Linda maslahi ya chama na mgombea wake.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Asante sana kwa kutoa ufafanuzi unaoeleweka
  8. C

    JamiiForums Tanzania Private schools (English medium) ada kupanda maradufu 2023. Serikali iingilie kati

    Wakipandisha watakosa wanafunzi na shule zitakufa kifi cha asili
  9. C

    JamiiForums Tanzania TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    TBC hakika na ukweli daima
  10. C

    JamiiForums Tanzania Umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18

    Kwani nini hayo mapendekezo hamjayapele kwa Tume ya Warioba iliyokuwa inakusanya maoni ya Katiba Mpya ili yaingizwe kwenye mapendekezo ya Katiba Mpya?
Back
Top Bottom