Recent content by Chamwau

  1. C

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jipu langu lipo upande wa ardhi,huko wilayani misungwi kuna watu wanadhulumu ardhi.enzi za mwalimu nyerere kulikuwa na kuamishwa vijiji unatolewa sehemu uliyokuwa unaishi unapelekwa sehemu Nyingine.cha ajabu kumetokea watu wanaojiita wamiliki wa sehemu hizo wanawaondoa waliopewa maeneo hayo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujifungua kwa njia ya upasuaji(Cesarean section) imeongezeka sana siku hizi?

    Nimeshuhudia week mbili zilizopita wadada wawili wameomba wenyewe kufanyiwa operations regency. Eti mmoja anasema anaogopa uchungu unauma,mwingine akasema hawezi kusubiri uchungu ni bora afanyiwe week zimeshatimia.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa vinakosa sifa za 'smart card'

    Tarehe ya kuzaliwa,mwaka,na mwezi vipo kwenye kitambulisho tarakimu zake zimeunganishwa kwa pamoja
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili: Ubakaji wa mwanafunzi wa form six mwenye umri wa miaka 16

    Kama angesoma.mtindo wa Qt, Hawezi kuchaguliwa shule ya serikali kuendelea na masomo kumbuka anasomo korongwe girls.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ulipoanza darasa la kwanza?

    Nakumbuka kaka yangu alinipeleka shule.shuleni sasa nilikuwa nashangaa tu kwani wenzangu walikuwa wanaongea kilugha na Mimi nilikuwa mgeni ndio nahamia.Kwa kweli hakuna mtu aliyenitisha.I miss my shule mpalangwi shule ya mazoezi huko kondoa
  6. C

    JamiiForums Tanzania NEC: Tarehe 21/8 ndio siku ya Urejeshaji Fomu kwa Wagombea Urais, wasiongozane na zaidi ya watu saba

    Wanaona aibu umati wa chadema ni gharika,ccm Hamna kitu so wameona bora wakataze
  7. C

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ulipoanza darasa la kwanza?

    Ilikuwa kondoa shule ya mpalangwi,sitamsahau mwl wangu alikuwa sister alitufundisha wimbo, tunaimba wakati wa kuondoka
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Enzi hizo YARABI SALAMA BUS ilikuwa dar-kondoa-dom.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    ndio unauliwa na malaika mtoa roho a.k.a israel
  10. C

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kununua LUKU kwa kutumia TIGO PESA

    pole sana,lakini fahamu kuwa ni tatizo la tanesco sio tigo pesa.tigo wenyewe wanatuma maombi tanesco ila tanesco wanachelewa kujibu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mzee mfugale na peacock hotel

    anaitwa Damas alimsomesha mambo ya hotel,alishawahi kuwa director of studies national college of tourism.aliacha kazi kuendeleza biashara za baba yake.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    RIP Wasaimon
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Ndege ya ATCL yapasuka kioo ikiwa angani...

    jamani route ya kigoma ilisitishwa,imeanza na matatizo.aibu kwa serikali ya ccm
  14. C

    JamiiForums Tanzania Regia mtema memorial event

    naomba ufafanuzi,wanaotakiwa kuhudhuria?kuna limit ya watu fulani au?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Singita Hotel-most expensive

    Katika hotel bora africa ni ya kwanza kwa standard zote na katika dunia ipo kwenye top ten
Back
Top Bottom