Recent content by chamtu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufanya ili kuwa na uhuru wa kipato

    FLP network at work.... nimekupata
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

    Hongera zake Dina kwa kumleta Zion Ndege
  3. C

    JamiiForums Tanzania BBA Winner, Dillish Breaks Up with long Time Boyfriend Stephen

    Well rest away Steve, if u went back and did what you did, it not worth dating Pretty Dillish anymore. Just rest aside and leave the lady alon. Dillish, you haven't lost anything in fact you have won again....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mimba miezi 9 week 3 hakuna uchungu nifanyeje

    Ikifika wiki 4 2 ndo uanze kuogopa, hiyo isikuogopeshe, hutakiwi kipanic sio salama kujitia presha. Soma dalilo za msingi tu, subiri. Mke.wangu alijifungua na wiki 42 tena kawaida. Hakuna cha utosi kukomaa wala nini... maumbile ya mtu na,mtu, na Mungu akipenda.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dear Wema...

    Wanaume ndo wanaomfanya ajione celeb, lakini hana umaarufu huo, mi sijui huo uzuri unatokea wapi , mbona wa kawaida tena hata mazombie wama afadhali...too artificial, too chinese....aggggh anachefua ukimwona kwa karibu na ile mishipa ya damu utadhami mnyoo...puuuuu .....,....... Btw, cha...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

    It is sad kuwa mwanamke mrembo anaacha kujishughulisha na kazi za maana anafanya kazi ya kuharibu watoto wasio na hatia...huu ushabiki sio kabisa. Kumbe uboss lady ni wa sembe...aibu na laana, acha wafungiwe huko
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nina laki 2 nataka kununua gari.Ushauri unahitajika!!

    Nashangaa, hela yote hiyo du
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wakati mkijiuliza unga wa masogange ulipitaje airport ya dar..shangaeni haya kwanza

    Angali vizuri, hiyo kijani ni bustan, ni kanafasi kanakoonekana kati ya viti vyao. Check kiti cha pili baada ya nchimbi utaona upenyo. Pia hiyo meza ni ya kioo. Tafakari.....picha halisi Loading
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanzania sijui mkoje yani....mnaboa sana

    Ukiendekeza kutembea na simu kila mahali kunapunguza upendo wa dhati. Raha ya mawasiliano yenye tija uso kwa uso. Ukiendekeza simu hata kwenye ibada utataka usali kwa simu.... simu ni muhimu ila si lazima hasa kwa mkeo, mpenzi, mume. Physical ndo mpango.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mabaunsa/Security wa Uchumi Supermarket wamegeuka kero zaidi ya ombaomba?

    Mambo ya aibu tena waripotiwe. Ingawa mi hawajawahi kuomba wala sijawahishuhudia
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nalazimishwa kuwa na mwanamke chaguo la dada yangu

    Kisa cha kweli. Rafiki yangu anang'ang'anizwa amwoe mwanamke ambae dada yake mlezi (msomi) chaguo lake. Visa vya dada yake vimezidi kiwango kiasi cha kumfanya awe na stress muda wote. My take: karne hii mambo haya ya kuchaguliana/kulazimishana ndoa bado yana nguvu kweli au ni ujinga.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni ujumbe aliotuma mtanzania mwenzetu ambaye amefungwa angola baada ya kunaswa na madawa ya kule

    Tena huyu naona adhabu ndogo arudi baada ya miaka kumu akiwa hana vidole na dudu yake iwe choped. Wajinga sana hawa watu. Wanataka nchi iendelee kuonekana inalea wauza sembe
  13. C

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wasanii mateja yazidi kushika kasi...

    Tunaiga haya mambo ya masembe tunaishia kuchakaa tu, nashindwa kushangaa hiyo chain ya wasambazaji inamuwaje haikamatiki.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mwanajf yeyote wa iringa tuwasiliane

    Kamwene bela
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Kujifunza jinsi binadamu tulivyo. Na hivyo ndivyo tulivyoweza kumjua Nando jinsi alivyo. My take: malezi ya mtoto ndiyo yanakupa picha ya kuwa atakua mtu gani akiwa mtu mzima. Wazazi tujifunze kuwajengea watoto wetu misingi mizuri ya kujijali na kujali utu. Mtu kama Nando anaonekana hajui...
Back
Top Bottom