Recent content by chamsM

  1. chamsM

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Huduma either imewashinda au mnafanya kwa mipangilio yenu wenyewe. Labda km mmebadili hii mifumo ndani ya miezi miwili hii ambayo situmii huduma yenu. 1). Mfumo mbovu wa ukataji wa tiketi, yaani nyie na makonda wa daladala za kawaida hamna tofauti ( hamuwezi kucontrol mapato, na ni UHUJUMU...
  2. chamsM

    SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kwanza waondoe tar ya kuzaliwa, pili waongeze group la damu, waongeze chip ambayo itabeba taarifa zako basic hii kiusalama waweke taarifa basic tu, vinginevyo watesi wakija kukuamua kukukumiza umekwisha, Na waweke mtaa na mkoa unapotokea. Then waunganishe hizi taarifa kwnye data base moja ya...
  3. chamsM

    Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Yaani ni sawa na wewe ufanye kazi nyingine, either ya kuuza bidhaa/ Huduma au uwe mwajiriwa, then kipato chako unapokipata mtu akuambie usiende kunywea bia, au usiende kununua gari. Kwa kweli serikali inawatesa wakulima. Wkt huohuo mnataka kuwahamasisha watu waingie kwenye kilimo, wakt huohuo...
  4. chamsM

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Mzee jitafute tu, ipunguze hiyo mahari kwa 500 nyingine, halafu muwe mnaawambia maisha yamewapiga mambo yamebadilika mnaitafuta hiyo hela miaka yote, mpk huyo mzee aombe poo. La sivyo naskia wale ni wanga , wasije wakakuchukua msukule
  5. chamsM

    Trump under Arrest

    One man army!! Democrats wanajua bayana bila kumzuia huyu jamaa nje, akipitishwa tu kugombea Biden anaiga IKULU. Mwamba sijui kama atatoka salama
  6. chamsM

    Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Lakini tujiulize, tutawafacilitate vp, wakulima waingie shambani km tunawabana namna hii. Wanaolima kwny large scale ni wale ambao wameenda kulima kwa ajili biashara.. Leo tunavyomdiscourage ataondoka afanye biashara nyingine, watabaki wakulima wetu wa siku zote wa small scale.
  7. chamsM

    Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

    Kaka mimi niliwahi kuwa na hiyo mentality, nadhani ukuaji wangu wote.. Sikutaka kabisa wanawake maskini, na maskini niliokuwa nao walijua tu sipo kwao kwa mahusiano ya kudumu. Umri ulipoenda, nilikuja kujua ni makosa makubwa kwa mwanaume kuwa na mwanamke tajiri, hutoweza kuwa mwanamume mwenye...
  8. chamsM

    Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Sera zetu kama nchi hazijakaa sawa, kila mtu atakuja na lake linalomfaidisha kisiasa. Ila Rais, tunaweza kusema anaweza kuona report ya hali ya chakula nchini ikiwa wameforecast hali tete ya kiusalama wa chakula mwakani, hapo hana budi kufanya maamuzi. Lakini km sio sbb za kiusalama , inapaswa...
  9. chamsM

    Rais Samia ateua Mtendaji Mkuu TANROADS na Naibu Makatibu Wakuu

    Tunakubali rais ndio kiongoz wa nchi, lakini nadhani sasa inapaswa hizi nafasi za teuzi zilizopo mikononi mwa Rais zipungue. Panga pangua ya safu zake ni kila wkt, hawapi nafasi ya watendaji kufanya kazi ikaonekana. Katiba ingempa nafasi kadhaa za muhimu kiusalama na kisera lakini hizi nafsi...
Back
Top Bottom