Na je, inachukua muda gani mpaka mchakato mzima kuweza kukamilika baada ya kuandika barua ya kuomba kufanyiwa recartegorization? I mean Unaweza kubadilishwa kada muda wowote na kuanza kazi? au ni mpaka mwaka mpya wa fedha uanze
Ili kujua idadi ya magari yaliyosajiliwa kuanzia T100 AAA hadi T999 EZZ katika mfumo wa nambari za magari Tanzania, tunahitaji kufanya hesabu ya mchanganyiko (combinations) wa nambari na herufi.
Muundo wa nambari za magari Tanzania mara nyingi hufuata L NNN LLL, ambapo:
* L ni herufi moja (kwa...
NMB huduma za kibenki kupitia kwa mawakala imekuwa ni changamoto.
Unaweza kwenda kwa mawakala hata 5 mfululizo, kila mtu atakuambia mara huduma hamna, mashine hamna etc.
Sijui shida ipo kwa nani.
Yaani kama una shida ya haraka na hela yako lazima ukione cha moto, ukiachilia mbali ATM...
Wakuu kuna mtu aliye fanikiwa kuapply hizi kazi zilizotangazwa na Benki ya Nmb maana kwangu naona portal yao imegoma kufunguka na muda ndio unaelekea kuisha.
Hivi kama pale kwenye zile kozi walizotaja wanataka mtu mwenye diploma na wewe una degree, haiwezi kutokea bahati ya mtende au nikate tamaa tu nipotezee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.