Recent content by Chamlile A

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

    Inaweza kuwa mwezi Wa pili au watatu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 2016 zinatoka lini?

    Ndugu wana jamii forum napenda kujua kama kuna mtu anae jua atupe ufafanuzi kuhusu hili jambo asante.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Jamani kwenye taarifa kamili kuhusu hiyo taarifa atupe ufafanuzi is very serious issue
  4. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    hizo lashalasha tu mvua bado tutaona mwezi wa kumi mwaka huu as Tanzanian people we can not dare to make mistake again Mimi naona vizuri sana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Why nepotism and selfishness in Africa particular Tanzania

    Dear JamiiForums member we have to make critical judgement about nepotism and selfinishness in Africa particular Tanzania say something and suggest ways in order to remove the problem of nepotism and selfinishness in Tanzania particular.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa vijana wa JKT, George Mgoba apatikana Msitu wa Tumbi

    picha za kihindi hizo hatari sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sifa gani ziinatakiwa kujiunga na A-Level mwaka huu 2015?

    Ndugu WanaJamiiForums, Nnaombeni msaada kwa anae jua sifa za kujiunga na form five na six kwa matokeo ya mwaka huu ya BRN big result now maana yananichanganya. Wadau kwa anae jua naomba ufafanuzi.
Back
Top Bottom