Recent content by chamilitary

  1. chamilitary

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    hili kundi bado lipo?
  2. chamilitary

    Biashara ya Kuuza Vifaranga vya Kuku

    wazo zuri sana,ndio biashara rahisi wasiliana nasi kwa maelezo ya kina poultrycaretz@gmail.com pia pitia blog yetu www.poultrycare.blogspot.com au youtube channel
  3. chamilitary

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hata hatifaham@BabaG.com
  4. chamilitary

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Habari yenu jf nimekuwa nikifuatilia tangu mwanzo na nimefurahishwa sana na kazi nzuri za Kubota na member wengine kwenye hii thread ila sasa nimeona nijitambulishe kwenu kama mtaalamu wa maswala ya mifugo hasa ufugaji wa ndege wafugwa na kuku. lengo langu sio kukusanya mapato kwasasa ila...
  5. chamilitary

    Ufugaji wa kuku kibiashara-misingi

    MISINGI YA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA Misingimuhimu ya ufugaji wa kuku kibiashara yanayokuwezesha kupata mazao mengi na bora zaidiyatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Misingi hii ni pamoja na: √ Kuchagua njia bora ya kufugana sifa za mabanda bora ya kuku √ Kuchagua...
  6. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Gharama inategemea na idadi na aina ya kuku wenyewe Ningekushauri kuku wa kienyeji au chotara
  7. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    chukua namba tuwasiliane kwa njia ya simu au whatsapp
  8. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Kware kuku bata njiwa kanga
  9. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Napatikana Morogoro na Arusha ila nakuja dar on special request
  10. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Pia naweza kukuunganisha na wauzaji wa vifaranha bora waliopata chanjo za muhimu na bora
  11. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Haya mafunzo nayatoa kwa njia kama ifuatavyo Nakutumia audio whatsapp usikilize Unaweza piga simu Au email Mimi ni mtaalamu masuala ya mifugo hasa kuku na pia nina uzoef
  12. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    chukua namba hizi 0756641810/0688641810/0716588901 uliza urio farm
  13. chamilitary

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Hi...! Dr Swai Congratulations for what u've decided am very interesting in small livestock's birds n fish Am still in campus but soon i'll be out...i'll join you in this race Keep it up Keep learning from kenyans they have alot to learn
  14. chamilitary

    Jifunze ufugaji wa kuku bure

    Poultry farming is one of the most profitable type of farming. Many have made millions from this venture. I can help you to start & run this type of farming for FREE. I walk with you in every step & am always there to offer consultancy services of any kind,all the time. Please talk to me...
  15. chamilitary

    Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

    Afrikans we need to change mpira wa jana mzuri ila wenyeji wametia aibu
Back
Top Bottom