Recent content by chamilion

  1. chamilion

    JamiiForums Tanzania Kwenu Ndalichako na Jafo

    Acha majungu pambana na hali yako, hao unaowatuma hawashughulikii changamoto ndogo kama hizo, Hilo linamalizwa na MEK tu au afisa elimu!
  2. chamilion

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

    Hazikuwa Akiliizetu itakuwa tuligonga nyagi
  3. chamilion

    JamiiForums Tanzania Binti wa shule akitembea na Mkuu wa shule ujue kakubuhu uhuni

    Duh! Safi sana ipo siku nitawahadithia ili kuunga mkono mada hiyo ila kwa Leo acha niseme mtoa mada ni matunda bora ya elimu umekomboka kifikra!
  4. chamilion

    JamiiForums Tanzania Tuliozusha, kufurahia, kushadadia na hadi kutaka kuchukua kazi ya ‘Israeli' tusaidiane kujibu haya maswali

    Zamani tukisikia mwalimu amekufa, swali lilikuwa ni mwalimu wa hisabati au kiingereza? Tena kwa mshangao wa furaha, ghafla jibu linatoka ,hapana yule mwalimu sayansi na maarifa ya jamii! Hapo watu wanaangua vilio sio kushangaa tena.
  5. chamilion

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Ua la faraja by William Mkufya
  6. chamilion

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Tumeuona baba, mkono wako
  7. chamilion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu kaniruhusu nichepuke

    Kila mtu anamlia timing mwenzie, wakati wewe unamfanya mlinzi yeye anakufanya chuma ulete usije ukasema ni bwege no yupo makini, hakuna agongae nyagi akawa poyoyo!
  8. chamilion

    JamiiForums Tanzania Mbeya manispaa oneni hili

    Santiriya na Ilembo duh! Kitambo sana naipenda sana ile miji
  9. chamilion

    JamiiForums Tanzania Walimu salamu zenu kutoka kwa Proffesor Ndalichako

    Usibishane na mwanamke inawezekana yuko p ndomaana analopoka tu!
  10. chamilion

    JamiiForums Tanzania Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Mkapa ametoka kwa babu yako acha akili za k vant!
  11. chamilion

    JamiiForums Tanzania Watu 10 wanaoongoza kwa Umaarufu Tanzania

    Mangikimambi,wasiojulikana hayo ndo majitu maarufu mmmnooo!!
  12. chamilion

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnitajie majina ya Kiswahili ya Kiume

    Kutomba utombe wewe afu jina utuulize sisi acha kujishusha vipo vya kushare mawazo ila sio hicho
  13. chamilion

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hukwepa starehe, hata hawamiliki vitu vya kututisha sana sisi ' wala bata '

    Kuna tofauti Kati ya mlevi na mnywaji, ulevi ni kuzidisha kiwango kulingana na mahitaji, kunywa ni kupata kulingana na uhitaji bila kuzidisha, uwezo wa kufikiri hauathiriwi na unywaji ila ulevi, pia ukifikiria sana unapoteza uwezo wa kufikiri fikra yakinifu!
Back
Top Bottom