Wazee wa fursa kazini. Uumpe kiumbe wa kaskazini fursa ashindwe kuitumia....nani kasema....twende kazi Mzee wa kubadili gia angani, tumia fursa hiyo ipasavyo. Na usirudi bongo komaa tu huko huko Nairobi itengeneze mapene mwanakwetu. Riziki imejileta yenyewe hiyo!!!
Nasikia wapiga kura wa jimbo la SINGIDA MASHARIKI wanalalamika sana.....hawamuoni Mbunge wao jimboni hivyo jero zao wameamua kuziwasilisha kwa Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi
Jasiri aachi asili......CHADOMO kama kawaida yao uvigeugeu na kugeuka kula matapishi yao ndio asili yao.
Yule fisadi, kesho Huyu mtu safi....hao ndio CHADEMA bhana!!! wanajipambanua kwa sifa yao ya unafiki na ukigeugeu!!!
Ufipa wanajipanga kutoa tamko hivi karibu ni kumshawishi Uhuru asusie uchaguzi wa marudio kama walivyofanya visiwani mwaka 2015,kumshawishi Mzee wa sawasawa kususia uchaguzi wa marudio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.