Recent content by Chambou255

  1. C

    SoC02 Miaka 25 – 30 na afya ya akili ya kijana

    Mwaka ni 2012, kijana Hope amemaliza kidato cha nne akisubiria matokeo ya kwenda A level. Kwenye kichwa chake unacheza mkanda wa namna Maisha yake yote yaliyobaki jinsi yatakavyokuwa. Ameshafika miaka 25 anajiona amemaliza chuo, ana kazi nzuri, ana gari na tayari ameshaoa. Asichokijua Hope ni...
  2. C

    Unaishauri nini Simba?!

    Ikiwa wewe ni kama moja ya wadau wa soka la bongo ..ukipewa dakika kumi za kuongea na bodi ya klabu ya 'wekundu wa msimbazi' Simba utaipa ushauri gani kwenda mbele
  3. C

    Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

    Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Simba Sports Club wekundu wa msimbazi wametupwa nje ya klabu bingwa barani Afrika na klabu ya UD SONGO kutoka nchini Msumbiji. Klabu hiyo kutoka kati kati mwa jiji la Dar Es Salaam iliacha gumzo kubwa kipindi cha dirisha la usajili ikichukua wachezaji kutoka...
  4. C

    UNDANI WA KIFO CHA RAPPER 'NIPSEY HUSSLE'.

    Whats weird about hii ishu kwamba kwenye trial ya dr sebi jamaa aliweza kupresent wagonjwa 33 ambao amewaponesha lakini hakuna juhudi zozote za lazima zilizofanywa kuengineer dawa mpaka alivyokufa 2016. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    UNDANI WA KIFO CHA RAPPER 'NIPSEY HUSSLE'.

    Taarifa mpya zinasema alikuwa ex gang member wa rolling 60s, akasnitch (kushirikiana na poliai kukamata gang members wengine) na jamaa akataka kuingia duka la Nipsey, nip akakataa jamaa akarudi na kufanya tukio Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    UNDANI WA KIFO CHA RAPPER 'NIPSEY HUSSLE'.

    Moja ya wanamuziki wa hip hop kutoka Los Angeles Marekani Nipsey Hussle amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 6 nje duka lake la nguo ambalo lipo kati ya Slauson Avenue Crenshaw Boulevard. Nipsey alikuwa amekaa nje ya duka pamoja na watu wengine wawili ambao nao walipigwa risasi lakini hali...
  7. C

    Fahamu haya kuelekea mchezo wa Manchester United na Arsenal

    Paul Pogba anatarajiwa kuchukua majukumu yake ya upigaji penalti kwenye mechi ya Arsenal itakayochezwa muda mchache ujao. Marcus Rashford alipewa majukumu hayo kwenye mechi na PSG na kuivusha timu yake lakini Pogba anatarajiwa kurudishiwa mikoba yako. Pogba alikosa penalti dhidi ya Southampton...
  8. C

    Kitete cha Simba ugenini, nini shida?

    Simba kwa mara nyingine imeendelea kupata tabu ugenini kwa kupigwa 2-0 na JS Saoura. Mechi ya mwanzo iliyopigwa taifa Simba walishinda 3-0 kupelekea Saoura kumtimua Nabil Neghiz aliyekuwa kocha mkuu. Stori ileile ikajirudia kwa Al Ahly wakifungwa 5-0 Misri na kuondoka na ushindi wa 1-0 kwa...
  9. C

    MSIMAMO WA KUNDI,KUELEKEA SIMBA VS JS SAOURA

    DUA ZOTE KWA MNYAMA KUPATA MATOKEO MAZURI LEO[emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA JS SAOURA

    VIP MNYAMA ATACHOMOKA NA FIRST ELEVEN HII?! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Pep Guardiola kwenda Juventus FC?

    Katika taarifa za kushtusha inatipotiwa kwamba kocha wa Man City Pep Guardiola amekubaliana kwa mdomo kujiunga na Juventus. Mwandishi wa habari Luigi Guelpa ameiambia radio ya CRC kwamba chanzo chake cha kuaminika ambacho kimempa taarifa hizo ndicho kilichomwambia kuhusu CR7 kwenda Juventus...
  12. C

    Utata penalti ya Man UTD na PSG waisha

    Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki. Mpira ulipigwa na diego dolot na kumgonga Kimpembe mkononi, awali mwamuzi Damir Skomina hakuona ila baada ya msaada wa VAR akaamua liwe...
Back
Top Bottom