Fahamu haya kuelekea mchezo wa Manchester United na Arsenal

Chambou255

Member
Feb 15, 2019
16
19
Paul Pogba anatarajiwa kuchukua majukumu yake ya upigaji penalti kwenye mechi ya Arsenal itakayochezwa muda mchache ujao.

Marcus Rashford alipewa majukumu hayo kwenye mechi na PSG na kuivusha timu yake lakini Pogba anatarajiwa kurudishiwa mikoba yako.

Pogba alikosa penalti dhidi ya Southampton Jumamosi iliyopita United wakishinda 3-2.

Kwa upande mwingine kama wanavyoonekana pichani Nemanja Matic, Juan Mata na Jesse Lingard wanaotoka majeruhi wameonekana wakijiunga na wachezaji wenzao kwa mazoezi ya mwisho ya jioni.

10774722-6789509-image-a-23_1552131177710.jpeg
10774754-6789509-image-a-27_1552131897054.jpeg
10774752-6789509-image-a-28_1552131900431.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul Pogba anatarajiwa kuchukua majukumu yake ya upigaji penalti kwenye mechi ya Arsenal itakayochezwa muda mchache ujao.

Marcus Rashford alipewa majukumu hayo kwenye mechi na PSG na kuivusha timu yake lakini Pogba anatarajiwa kurudishiwa mikoba yako.

Pogba alikosa penalti dhidi ya Southampton Jumamosi iliyopita United wakishinda 3-2.

Kwa upande mwingine kama wanavyoonekana pichani Nemanja Matic, Juan Mata na Jesse Lingard wanaotoka majeruhi wameonekana wakijiunga na wachezaji wenzao kwa mazoezi ya mwisho ya jioni.

View attachment 1042540View attachment 1042541View attachment 1042542

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongelea Manure tu au zote?
 
Vipi tuambie au nawe umeshajinyonga kama mkenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom