Recent content by chamatawala

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

    Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Na mimi nikitaka kumkumbusha huyu mbururaaaa mwigulu kua maneno haya aliyatumia mtu makin mch msigwa siku anatukumbusha kuwaombea wanaoshikwa na wake za watu..... I lyk it
  3. C

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya (MB) Achemka Katika Interview EATV Chanel 5...!

    Kipenzi cha watu wa bunda!!! Man usiongee vitu usivovijua, bunda yupo jembe la cdm papaa pius muulize huyo asiyemfaham mwandishi wa kitabu anachokipenda atakwambia
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema Anena ya Moyoni

    Kopi na wewe za mwiguru nchemba
  5. C

    JamiiForums Tanzania Sadifa,Mlaki,Mwampamba,Mwaulan ga na Asenga: JK asipoweka sahihi mswada wa tutampinga hadharani

    Mi nafikili kny hili la katiba tuache ushabiki wa kivyama... jaribun kukapima kamkutano kenu ka watu 100 na mkutano wa hao mlowaita mashoga then mtwambie nani ni shoga ninyi au wao.... na kupitia hilo ndo mtafaham hao mlosema wanachama weng wanakwenda wap kuhudhulia mikutano yenu Insanity
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kumeguka...!

    Katibu mwenez wa tawi anaimegua cdm!!!!??? Kweli hukustahil hata kua mpish wa cdm kwa mawaz ya namna huo
Back
Top Bottom