Wanajf, Ni wazi kwamba vijana wetu walio Chuo Kikuu na Taasisi nyingine za Utafiti tunakabiliwa na uhaba mkubwa wa vitabu vya taaluma mbalimbali(Uchumi, Uhasibu, Siasa, biashara, Globalization, Statistics na mfano wake). Tuna stock ya kutosha ya vitabu hivi na tunaviuza kwa bei "ya Kitanzania"...