Hapana mkuu si kila usiyemchangamkia utaanza kufa,ni mambo mengi ila naona kama nimeshindwa kuwasilisha vizuri kwa maandishi ili nieleweke vizuri,natamani ningekuwa naelezea moja kwa moja kwa mdomo.Lakini kwa mfano mmojawapo nilioutoa hapo juu,basi angalau iwe mnakutana Mara nyingi na huyo mtu...
Habari..
Kifo hakitabiriki, ndivyo tunavyosema. Lakini kila binadamu huwa ana namna ya kufahamu kama maisha yake yanaelekea ukingoni ama la.Kila binadamu amejaaliwa maono hayo ya viashiria vya hatima ya maisha yake hapa duniani.Na huwa haimchukui hata miezi kadhaa ama wiki kadhaa ama siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.