Mtu anafanya kazi miaka 40 ujana wake wote anamalizia kazini kuna mtu anakaa miaka mitano hata jimboni hawawahi kanayaga analipwa pensheni milon 272 ,unaongea kutimiza wajibu katika mazingira magumu yasiyo na vitendea kazi je hao wangefanya mazingira kama ya wakimu wangekaa kimya?
Mfumo uliotengenezwa umewapa maslahi wanasiasa kwamba wao wana haki ya kila kitu ndio maana kutunga sheria zinazoumiza wengine na wao kuwaacha wakila maisha ni rahisi tu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.