Recent content by chalii wa rombo

  1. chalii wa rombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BIG Blow for EACOP as Deutsche Bank Cancels Financing

    Kenyans naomba mtuambie mradi wenu wa mafuta Turkana-Lamu ulioanzishwagwa na Kibaki umeishia wapi??[emoji1787] tunasubiria mje mtuuzie mafuta wana East Africa [emoji1787]
  2. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Na wewe unaruhusiwa kuwaza,Lowasa ndio rais wangu..

    kwa akili yangu hii hii ndogo ya chuo na kwa research yangu niliyofanya binafsi kichwani mpaka sasa naweza kusema kuwa kila mtu alie CCM kwa sasa yupo kimaslahi zaidi,angalia wasanii,vijana na wote wanao isupport kama hawapo kimaslah,nani naniii?#sijui kama unawaza ninachowaza? unlike UKAWA...
  3. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Hermanrocky24@gmail.com nitumie mchanganuo wa gharama za kusajili co,nipo dar.Asante
  4. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Kwani hao uliowataja sio watz? Hawana haki ya kupiga kura?fikiria kwanza
  5. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/internship, Nina shahada ya Sheria

    haya sawa
  6. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/internship, Nina shahada ya Sheria

    Habari za saizi wana Jamii forum, Hii ni mara yangu ya kwanza kupost umu, so mniwie radhi kama kunajambo nitakua nimekosea.. Well, ninachotaka kufikisha kwenu ni kwamba mimi ni kijana ambae ni graduate na nasubiria kujiunga na law school mwishoni wa mwaka huu, hivyo bas nipo apa kuomba...
  7. chalii wa rombo

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    piga tuu
Back
Top Bottom