chalii wa rombo
Member
- Oct 19, 2012
- 9
- 0
Habari za saizi wana Jamii forum,
Hii ni mara yangu ya kwanza kupost umu, so mniwie radhi kama kunajambo nitakua nimekosea..
Well, ninachotaka kufikisha kwenu ni kwamba mimi ni kijana ambae ni graduate na nasubiria kujiunga na law school mwishoni wa mwaka huu, hivyo bas nipo apa kuomba anaejua sehemu, link, au organisation yeyote ambayo unaona mtu mwenye taaluma kama yangu anaeza kupata. ata internship itakuwa swa pia.
Asanteni sana!