Sasa kama aliyotaka kuyasema yanajulikana hadi na ww na umeshayasema,hiyo taharuki wanayoidhibiti ni ipi wakati Kila kitu kinajulikana??
Yaan ww Ujue na useme aliyotaka kuyasema na mtaani yanajulikana Sasa hiyo taharuki inatokea wapi?
Kama hayo unayosema ni kweli,na kweli amedhibitiwa ili...
Iran ktk hili haiko peke yake,Ina backup ya China,Urusi na Korea Kaskazini.
Ambao Kimsingi walijipanga muda mrefu kwenye hili na mitego Yao ni kama imeshanasa.
Wao wanaitaka sana hii vita kuliko Israel na bwana ake America.Ubaba wa Amerika Kwa Sasa uko mashakani maana kujihusisha kwake...
Ubaya aliomfanyia Manula kuwa ameuza mechi ya goli tano zile hadi Sasa Manula anawekwa benchi bila sababu yeyote ya msingi Sasa Umebwela kwake.Malipo ni hapa hapa..
Daah Mkuu mbona kama Umepanic hivi na hii hotuba ya Lissu??Unahofia nn?unaogopa nn??Hata kama ni Mapenzi Kwa chama chako na kukitetea mbona hatuona hoja zozote za maana zaidi ya personal attack Kwa Mh. Lissu?Kwa kufanya hivyo huoni kama ndio unampa Credits zaidi Lissu na chama chake kuliko ww...
Tatizo viongozi wa umoja wa Afrika Mashariki ni wanafiki na waoga wanashindwaje kuungana kuongeza nguvu ili kudhibiti hali inayoendelea Kongo??Mbona wenzao wa SADC mmojawao akizingua wanaungana chap anashughulikiwa mambo yanakaa sawa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.