Huwezi kumhukumu mwenza Kwa matendo ya nyuma. Pengine angepata wa kumtuliza asingekuwa mapepe. A anastahili kuwa mke kwani hakuna jipya tena chini ya jua
Shida ni utayari wa mtu kutoka ndani ya moyo. Kuna ndoa na couples nyingi wanaishi hivyo lakini baadi ya watu bado wana unyanyapaa kuona kwamba kuishi na mtu mwenye VVU ni kuhatarisha maisha. Si jambo baya uliloliamua but make sure uko commited na maamuzi yako, ilishanitokea hali ya...
Natumai mna wakati mwema wapendwa!
Mimi ni binti mwenye miaka 25, ninaishi na VVU. Nimechoka na hali ya upweke nahitaji mwenza wa kuishi nae as a husband and wife kwani naamini kuwa na VVU hakuwezi kunizuia kutimiza malengo yangu.
Sifa za mume ninayemuhitaji awe ni muislamu, mwenye hofu ya...
Mtoa mada hongera kwa kujikubali na Ahsante kwa kutia moyo wengine.
Mwaka flan nilitelekezwa na ujauzito , siku ya kwanza kuanza clinic ndiyo siku niligundulika na maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Niliumia sana ila nilijipa moyo kuwa mfariji wangu pekee ni mtoto nitakayemzaa hivyo sikuwa na...
Kuwa HIV+ hakumzuii mtu kuwa na vigezo vya mwenza anayemuhitaji. Haimaanishi ukiugua basi uridhike na yeyote yule hata kama hujamridhia. Kuumwa ni kitu kingine na kumpata uliyemridhia ni jambo jengi (tena pretend kama hakuna vitu vile[emoji1] ). Pambana mungu atakutimizia hitaji la moyo wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.