Mods naomba mnirekebishie kichwa cha habari neno hatui liwe hatujui.
Kwahiyo naomba kichwa cha habari kisomeke ; Mjadala wa wachezaji wa 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara;bado hatujui tulipojikwaa?
Shukrani.
Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
Huyo ni mbunge, mtoto wa marehemu Turky aka Mr White alirithi ubunge wa baba yake baada ya baba yake kufa, yeye na wabunge wenzake wanatakiwa walitazame hilo suala la kodi. Kodi haitakiwi iwe sawa au ikaribiane na thamani ya bidhaa. Wakati wa kutunga sheria wao wanapiga makofi tu na kupongeza...
Mfumo wetu wa kupata wabunge ni mbovu mtu anayejua kupiga domo na mwenye fedha anahonga wajumbe wa CCM halafu wanampitisha wakienda kwenye uchaguzi mkuu TISS na Polisi wanawapitisha kuwa wabunge sasa hapo unategemea kupata mtu wa maana kwenye nafasi hiyo? Walihangaika kupitisha watu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.