Recent content by CHAGOSI GERALD

  1. CHAGOSI GERALD

    15. JKT ya kweli haikufa - ililala. Na wa kuamsha ni wewe

    Sikiliza sasa… JKT ile ya Mwalimu haikufa, hapana. Ile taasisi ya kujenga taifa - iliwekwa chumba cha giza, ikafungwa taa, halafu ikafunikwa shuka ili ionekane imekufa. Lakini bado inavuta pumzi, bado moyo wake unadunda taratibu kama mtu aliyelala usingizi mzito. Swali ni moja: Ni nani wa...
  2. CHAGOSI GERALD

    14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  3. CHAGOSI GERALD

    13. “Mtoto, njoo hapa nisikie vizuri, Nitakuambia hadithi ya JKT ambayo iliuawa kabla hujazaliwa

    Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku? JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote, chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI. Mtoto, fikiria hivi: Kijana aliyesoma Ualimu...
  4. CHAGOSI GERALD

    12. Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki

    Kama vijana hawatamiliki nchi, nchi itawamiliki. Na mkiiachia iwaendeshe, haitawaendesha kama binadamu- itawaendesha kama mizigo. Kama gunia la mahindi lisilopiga kelele. Hayo ndiyo mmeanza kuyaona sasa. Na bado mnafikiri ni kisiasa. Bado mnafikiri CCM au CHADEMA au ACT ndo watakuja kuwaokoa...
  5. CHAGOSI GERALD

    Taarifa kwa Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    TAARIFA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kuhusu: Dhuluma, Mateso ya Kisaikolojia, na Uvunjiwaji wa Haki kwa Vijana wa JKT Waliotumikia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mheshimiwa Rais, Sisi vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) tunayo heshima kuu kukuletea...
  6. CHAGOSI GERALD

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  7. CHAGOSI GERALD

    PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  8. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    Vijana wapeleke mbele maandamano mpaka pale watakapojua wanachokitaka D9 mnawapigania Matapeli wenu wa baadae baada ya CCM kuanguka
  9. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    (Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic) MWENDAWAZIMU: Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao. Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?” Sikiliza basi. Sijasema...
  10. CHAGOSI GERALD

    8. “Uchumi wa JKT usingetoa ajira - ungezaa UTAIFA.”

    Ndio upumbavu wangu unaonekana pale ambapo hujasoma yote lakini ungesoma yote hakika ungejua wewe ni mpumbafu kiasi gani.
  11. CHAGOSI GERALD

    8. “Uchumi wa JKT usingetoa ajira - ungezaa UTAIFA.”

    Watu wengi hawajui kwamba ajira ni kitu kidogo sana ukilinganisha na utengenezaji wa utaifa. Taifa halijengwi na mishahara, halisimami kwa posho, halihifadhiwi na mabango; taifa linajengwa na umoja wa fikra, nidhamu ya kufanya kazi, na maono ya pamoja. Na JKT - ile ya mwalimu, si hii kambi ya...
  12. CHAGOSI GERALD

    7 JKT kama mama wa uchumi - mfumo uliyoua uwezo wa taifa kwa makusudi”

    Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe. Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele anapiga. Karibu. JKT Ilipangwa Kuwa “Uchumi wa Taifa kwa Ujumla”, Sio Idara ya Parade. JKT...
  13. CHAGOSI GERALD

    6. “JKT iliyoandikwa kwenye mioyo ya vijana - siyo ile iliyouawa na mfumo”

    (Hapa ndipo tunachana pazia - tunamuona Nyerere akiwasha moto, na mfumo ukiukanyaga kwa mguu wa chuma.) JKT Awali Ilikuwa KIUMBE Hai - Taasisi, Sio Kambi. JKT ya mwalimu Nyerere haikuwahi kukusudiwa kuwa: -mahali pa kufagia -mahali pa parade -mahali pa kunyanyua chuma -au sehemu ya kufundishwa...
  14. CHAGOSI GERALD

    PostGE2025 Kwanini mfumo ulioogopa vijana ilibidi uzuie JKT kama taasisi?

    (Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani) Vijana Ni “Tishio” Kwa Mfumo Wowote Unaoishi Kwa Mabavu ya Kiuchumi China, Urusi, Marekani, canada -...
  15. CHAGOSI GERALD

    4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
Back
Top Bottom