Salamu zenu ndugu zangu
Natumaini ni wazima kwa uwezo wa Mungu
Ninachoitaji kutoka kwenu ni ushuri pia na Msaada mkubwa toka kwenu ninachoomba kutoka kwenu ni
Kwanza kabisa mm nachukua mchepuo wa science tena PCB
Lakn ninachoomba kwenu ni kitu kimoja tuu
NINAOMBA MNIPE FORMAT YA MTIANI JINSI...
Mkuu ww bado upo katka mtanzamo finyu unajuwaje kuwa CCM wanajihusisha na mauaji ya viongozi wa siasa ten wanaosem kweli mfano kifo cha waziri mkuu enzi ya nyerere alikuwa anaitwa olesendeka aliuwawa na CCM au fikir kabla ujasem sasa kama unawanauwa wanaosema kweli mbona zitto hawamuuwi mbn yy...
Fact unaelewa ulichoamua mm nimekaa na mkuu wangu wa wilaya alinifundish vingi ila saivi yy kaamishiwa mtwara kama unamjua anaitwa biakanwa yani alinieleza vingi kuhusu CCM
HAHAH najua watanzania wala hampendi kuumiza kichwa yani umeshindwa kusoma nilichokiandika na sio karatasi moja kuhusu kichwa kimebadilishwa na mods maybe waulize
Ila sishangaii kushindwa kwako maana uchunguzi unasema waafrika hupenda kujifunza kwakuangalia video na sio kusoma vitabu
SIO...
Habari ,
Natumaini ni wazima
Note
Nyani akiwa anamuhazibu tumbili huwa amwangalii usoni
Hvyo katika uzi huu naomba tuweke ushabiki pembeni.
Nini maana ya chadema ukiachilia mbali kuwa "chadema" ni chama cha demokrasia na maendeleo.
Pia unaweza kukielezea kuwa chadema ni chama cha kitanzania...
Uliombwa uingie unazani kwann mods walitenganish majukwa kama ww nimpenz wq tasniaa unakuja huku ila kama ww Great think unaenda huko baba kama ni sifa umebum na kiki yako
Natumaini ni wazima
Katka kitu nimekuj kushanga kwenye hii tasnia ya Sanaa
Yan bila kiki huwezi kusogeza mziki wqko
Kam shabiki wa damu wa mnyama diamond nilifwatia hili jambo kiundani
Ila nimekuj kuona ni ujing kuchoma vocha kiangalia page za wasani wa kitanzania yani haijirudii ten yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.