Recent content by chafu3

  1. chafu3

    Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

    Mashine ya diesel ukifunga huitaji mota koongozi .
  2. chafu3

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada tofauti ya over 0.50 na over 0.75 Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
  3. chafu3

    Ufuatao ni 'Mjumuisho' wangu wa 'Kiuchambuzi' baada ya kuiona Simba SC jana katika 'Simba Day' yao

    Uchambuzi swaaaafiiiiii kbs . Hapo kwa mzungu niliwaambia mashabiki wa simba kuwa akichezeshwa mbele chama huyo jamaa atang'ara sana
  4. chafu3

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo nimekuelewa
  5. chafu3

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kauzwa mwaka huu mzee
  6. chafu3

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman mwenye namba ya huduma kwa wateja betpawa msaada
  7. chafu3

    Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

    Watu wengi mbinu za ngumi hawajui na hapa ndo kilimponza Tonny Rashid alipocheza na Mahlangu pambano la kwanza . Licha ya kuongoza round zote akataka ang'!ang'anize KO ,kilichotokea watu wote tukamuona hana akili kwa kutafuta sifa ambazo zilimgharimu. Tena tusisahau ngumi moja tu inaweza...
  8. chafu3

    Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

    Mkuu huo uzuri unouona ndo mimi siuelewi au vipi ? Boxing sio mchezo wa nguvu tu unahitaji akili nyingi na hicho ndicho kidunda alimzidi Katompa . Boxer's wa sasa hivi ni wajanja anahesabu rounds kadhaa akiona amekuwin anaanza kuruka ruka kama alivyofanya kidunda . Sasa ubaya watanzania walitaka...
  9. chafu3

    Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

    Wasukuma ukiwa mgeni na una shida ni wakarimu sana, lakini ukiwa ni mgeni (sio mzawa) na ukafanikiwa ni watu wabaya sana
  10. chafu3

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Niwekee hii ya dreamcast
  11. chafu3

    "Kesi ya Manara inafundisha kuwa,yeyote awe na haki asiwe na haki atafungiwa tu na wenye mamlaka"!!

    Mkuu watu kama wewe ndio mnapaswa kujadili hii issue. Hii ndio jamii forum haswa Hoja kwa hoja sio hoja kwa kejeli . Kongole
Back
Top Bottom