Recent content by chaduma

  1. chaduma

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

    Ndiyo kwanza nasikia kama kuna kitu kipya screenshot. Ngoja niingie you tube nikaangalie. Yanina nijipe dhiki mimi raha jipe mwenyewe.
  2. chaduma

    JamiiForums Tanzania Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    Sisi tu Mbona tunawajua wengi mumesusa kurudi home baada ya kuwaona mliowacha bongo wamewapiga gape la kimaendeleo. Mfano mdogo angalia kariakoo,magomeni,ilala,Tandika,Temeke,Tanga mjini, Dodoma mjini etc,minara ya magorofa yanayopanda wengi ni wabongo mliyotuacha hii inaleta hasira. Bora...
  3. chaduma

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni UN tupo wengi sana

    Ndiyo maana mitandao hufungwa. Wajunga wenzako wakiona haya wanaweza kusogea na kuwasababishia madhara. UN gani uliyopo mbona magari ya jeshi tu ndiyo yamejaa. Ndiyo mlivowajaza 29 October na kusababisha wauwawe.
  4. chaduma

    JamiiForums Tanzania Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole

    Habari na Hoja mchanganyiko Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole Thread starterngara23 Start date9 minutes ago Tagstec Jump to newSubscribe ••• ngara23 JF-Expert Member 9 minutes ago New Add bookmark #1 1. TEC wanakemea utekaji na mauaji...
  5. chaduma

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

    DP world na ukwepaji wa kodi imeshika mahalapake. Mbona Magu kapoteza wengi hao TEC walikuwa wapi?
  6. chaduma

    JamiiForums Tanzania MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

    Wewe pia upo bongo jichanganye uandamane uone kitakachokusibu
  7. chaduma

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lengo la maandamano liwe kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa viongozi wabovu na mafisadi siyo kubadili wanasiasa

    Kwa kuwa naishi Chuga siku hiyo ya 29 October ratiba yangu baada ya kupiga mswaki naenda kutick. Baada ya hapo naeudi nyumba nikiwangalia kwenye runinga kina Mavi Kimambi,Sativa,Roma na Maria Sarungi wakiandamana
  8. chaduma

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hali za watanzania kwenye kampeni zinazoendelea utaona mavazi yao sio mazuri, viatu sio vizuri, hawana nuru na wamezungukwa na umaskini

    KAMA MGENI WA TZ UKIFATILIA MITANDAONI NA UKIANGALIA MAFURIKO YA MIKUTANO YA SAMIA UNAWEZA USIELEWE KITU. ILA KWA SISI TUNAOJUA TUMEBAINI WANAOTAMBA KWENYE MITANDAO KUCHAFUA NCHI HAWAFIKI HATA 100. MBAYA ZAIDI WENGI NI WAKENYA NA WATZ WANAOISHI NJE. WAMECHOKA KUWA MANYUMBU WA WATAWALA KAMA...
  9. chaduma

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka...
  10. chaduma

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Naona unachelewa kaka,anza kuandamana kesho watu wavunje ngoko zako kisha Lisu akitoka anakaribishwa Ikulu maisha yanaenda
  11. chaduma

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya...
  12. chaduma

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Vyanunuliwa? Vyamshambulia Polepole kwa makala moja: Eti ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa?

    Wewe unaonaje!Polepole wa Katiba mpya,Polepole wa Magufuli na huyu Polepole wa sasa ni MZALENDO WA KWELI AU MJANJA MJANJA?
  13. chaduma

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itakuwa ni aibu, fedheha na chukizo mbele za Mwenyezi Mungu kwa Mtanzania yeyote ambaye hatampigia Kura ya Ndio Rais Samia

    Mbona mie tayari nishampigia. Sijui itakuwaje sasa
  14. chaduma

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Achana na kuwapeleka kusoma tu. Acha waishi hukohuko kwa majisiri nawe ujiunge ukaishi nao. Kenya hakuna visa,hakuna ubaguzi,wameendelea kiuchumi,ni majasiri. Sijui kwa nini bado umebaki bongo
  15. chaduma

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini

    ALAFU MTU ANIAMBIE MIE NIANDAMANE NAMI NIKUBALI KUFANYA HIVYO. TULIMPIGANIA KAFULILA NA KUTUACHA KWENYE MATAA, TULIMPIGANIA EDWARS LUEASA HARIMAE KATUACHA KWENYE MATAA. NYIE ACHENI KUFANYA YRNU ENDELEENI KUMPIGINANIA TUNDU LISU MZALENDO WA KWELI.
Back
Top Bottom