Recent content by CHADEMAASILI

  1. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

    Siyo rahisi CHADEMA kupata mbadala wa Dr. Slaa, akina Mnyika, wapo kukiua Chama na kulichafua Kanis kwa Udini na IUkaskazini
  2. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Walioiba kompyuta ofisini kwa DPP ndiyo waliomzushia ugonjwa Rais, ni mtandao umejipanga kupambana na Serikali

    Mungu ni mwema, wameshaumbuka kupitia kigogo
  3. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Mbowe atapatapa na kuwapotosha wananchi

    Ni kweli kabisa, tumemchoka
  4. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Mbowe atapatapa na kuwapotosha wananchi

    CHADEMA tumepoteza mwelekeo. Namkumbuka sana akina Dr. SLAA , sasa hivi kungekuwa na amsha amsha balaa
  5. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    hakika,kujimwamabafai kwa kikwete ndiko kulikolifikisha taifa hapa tulipo, Tanzania ilidharaulika sana wakati wa utawala wake.
  6. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Hivi kweli JK alishajiuliza kwanini aliitwa Dhaifu?
  7. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    tuliwapoteza akina Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Majembe mengine kwa mambo ya hovyo hovyo kama haya.
  8. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2020 Ni Vita: CHADEMA VS ACT-Wazalendo/Zitto Kabwe VS Yeriko Nyerere

    Halafu wanata kuunda Serikali, si watauana kwenye Ofisi za Umma, wakigombania Kasungura.
  9. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2020 Ni Vita: CHADEMA VS ACT-Wazalendo/Zitto Kabwe VS Yeriko Nyerere

    Zitto anajua lakini Mama yake ambaye alikuwa kinga yake hayupo Duniani? Shauri yake.
  10. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula: Si haki hata kidogo kumtusi na kumdhalilisha kwa namna yoyote ile Rais Magufuli

    Mwana Kondoo Ameshinda Tumfuate, Halleluya Halleluya Halleluya.
  11. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

    Wewe mambo ya Teknolojia huyajui, nyamaza tu.
  12. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua rada ya kuongozea ndege

    Ndege zetu ziko salama sasa.
  13. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephen Munga afananisha roho ya Rais Magufuli na roho za wafalme Daudi na Selemani

    Nimesoma chapisho la Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki STEPHEN MUNGA akimpongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jhn pombe Magufuli kwa kuwasamehe William Ngeleja na Januari Makamba na sasa Nape Nnauye MUNGA ni miongoni mwa...
  14. CHADEMAASILI

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Zitto na Lissu , hofu yatanda CHADEMA. Mbowe amfuata Lissu Ubelgiji

    Ujumbe umewafikia, acha kujibaragua wewe
Back
Top Bottom