Askofu Stephen Munga afananisha roho ya Rais Magufuli na roho za wafalme Daudi na Selemani

CHADEMAASILI

Senior Member
Jan 19, 2018
122
92
Nimesoma chapisho la Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki STEPHEN MUNGA akimpongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jhn pombe Magufuli kwa kuwasamehe William Ngeleja na Januari Makamba na sasa Nape Nnauye

MUNGA ni miongoni mwa Viongozi wa Dini ambao walitawaliwa na hisia hasi badala ya uhalisia dhidi Rais Magufuli. Kwa sababu mwenyewe (MUNGA) amekiri na kufananisha roho ya Upendo aliyonayo Rais MAGUFULI na waliyokuwa nayo Mfalme Daudi na Mfalme Selemani, naamini MUNGA atasamehewa na Mungu kutokana na hisia za chuki alizokuwa nazo dhidi ya Rais.

Mara nyingi sana Rais Magufuli ameonesha Upendo kwa Watanzania wote hata wale waliokuwa na hisia za chuki dhidi yake, kujitokeza kwa watu kama akina Munga na kukiri waziwazi upendo huu wa Rais kwa watu wake ni makusudi ya Mungu kwa wote wenye hisia za chuki dhiki yake.

PICHA YAKE.jpg
 
https://www.facebook.com/stephen.munga.37
View attachment 1205300

Humu jukwaani kuna uzi unataja sifa za madictator, nenda kausome uje utoe mrejesho.
 
Nimesoma chapisho la Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki STEPHEN MUNGA akimpongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jhn pombe Magufuli kwa kuwasamehe William Ngeleja na Januari Makamba na sasa Nape Nnauye

MUNGA ni miongoni mwa Viongozi wa Dini ambao walitawaliwa na hisia hasi badala ya uhalisia dhidi Rais Magufuli. Kwa sababu mwenyewe (MUNGA) amekiri na kufananisha roho ya Upendo aliyonayo Rais MAGUFULI na waliyokuwa nayo Mfalme Daudi na Mfalme Selemani, naamini MUNGA atasamehewa na Mungu kutokana na hisia za chuki alizokuwa nazo dhidi ya Rais.

Mara nyingi sana Rais Magufuli ameonesha Upendo kwa Watanzania wote hata wale waliokuwa na hisia za chuki dhidi yake, kujitokeza kwa watu kama akina Munga na kukiri waziwazi upendo huu wa Rais kwa watu wake ni makusudi ya Mungu kwa wote wenye hisia za chuki dhiki yake.

View attachment 1205300

That old man looks gay...

This old nigga’s gay as fvck!

Check alivyo simama...Hadi kusimama wima hawezi..

These LBGTQXYZ,etc maafakaz talk shit!
 
Mshauri huyo askofu aandike waraka mwingine kwa jiwe amuombe lissu msamaha na wengineo waliotolewa roho na wasiojulikana,huyo askofu ni mchumia tumbo tu mauaji yote ya kisiasa hajawahi kemea kaja na gazeti lake lenye utumbo mtupu
Nimesoma chapisho la Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki STEPHEN MUNGA akimpongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jhn pombe Magufuli kwa kuwasamehe William Ngeleja na Januari Makamba na sasa Nape Nnauye

MUNGA ni miongoni mwa Viongozi wa Dini ambao walitawaliwa na hisia hasi badala ya uhalisia dhidi Rais Magufuli. Kwa sababu mwenyewe (MUNGA) amekiri na kufananisha roho ya Upendo aliyonayo Rais MAGUFULI na waliyokuwa nayo Mfalme Daudi na Mfalme Selemani, naamini MUNGA atasamehewa na Mungu kutokana na hisia za chuki alizokuwa nazo dhidi ya Rais.

Mara nyingi sana Rais Magufuli ameonesha Upendo kwa Watanzania wote hata wale waliokuwa na hisia za chuki dhidi yake, kujitokeza kwa watu kama akina Munga na kukiri waziwazi upendo huu wa Rais kwa watu wake ni makusudi ya Mungu kwa wote wenye hisia za chuki dhiki yake.

View attachment 1205300
 
Hahahahaha watua wenye kuwezo wa ku-reason na kufanya arguemantation Munga kapiga pazuri kwa majna ya Daud na Seleman
 
Huyu askofu asubiri teuzi za ubalozi nje ya nchi maana Kwa sifa hizi alizotoa Kwa mpenda-sifa lazima ataula Tu ubalozi
 
Hahitaji kuwa balozi Bali chuo chake hakipati wanachuo wenye udahili na ufadhili Wa bodi ya mikopo tangu jamaa atinge jumba jeupe! Na kilikuwa kikipigiwa upatu Wa kufungwa kwa kukosa sifa za kuwa university! So, lazima asifie na kumwabudu ili mambo yake yaende!
 
Nitasikitika Sana iwapo Askofu Munga atakuwa amemfananisha Rais Magufuli na Wafalme hao wa Israel. Wafalme hao kwanza waliamini wamechaguliwa na Mungu, pili walifanya mema na maovu. Nitatoa mifano:
Daudi kabla hajaukwaa ufalme akiwa anamkimbia Mfalme Sauli, aliwahi kutaka kumuua Nabali, mume wa Abigaili kwa kukataa kumpatia chakula. Kama si busara za mwanamke huyu Daudi angetekeleza uuaji mkuu dhidi ya Nabali na familia yake yote.
Daudi hakuishia hapo aliendelea kuua ili kukidhi tamaa yake ya uzinzi. Alipomwona kimwana Bethsheba mke wa Askari wake Uria akioga, alituma kijana wake kumwita na hatimaye kulala naye. Mama huyu akachukua mimba, akamwambia Mfalme kwamba tendo lao limezua jambo. Ana mimba ya Mfalme.
Mfalme akaona itakuwa salama kumwita Uria atoke kwenye uwanja wa mapambano aje nyumbani kwake, alale na mkewe ili kuficha Siri. Uria akaja, lakini Mungu akamzuia asishuke kwenda kulala nyumbani kwake.
Mwisho Mfalme akala njama na mkuu wa Jeshi Joabu kumwangamiza Uria Mhiti. Uria akafa vitani kwa hila ya mfame Daudi na mkuu wa Jeshi Joabu.
Mara baada ya tendo hili adhabu ya Daudi ikafuata. Akaambiwa na Nabii Nathan: Umeua kwa upanga, upanga hautaondoka nyumbani kwako. Hayo yalikuwa maneno ya Mwenyezi Mungu. Matokeo yake ni dhahama: Kijana mkubwa mrithi wa ufalme anambaka Dada wa Kijana Absalomu, hivyo Absalom anamuua Amnon kwa upanga, Kisha kupanga mapinduzi dhidi ya baba yake. Mfalme anapinduliwa na kukimbilia Uarabuni. Baadaye anajiimarisha na kurudi kwenye ufalme kwa njia ya Vita vinavyogharimu maisha ya raia wengi akiwemo Absalomu mwanawe.
Mara baada ya Vita hivi Mfalme Daudi akavuka mto Yordani na kupokelewa na Wananchi, Mmoja wao ni Shimei aliyekuwa mkuu wa Kabila la Benjamin aliyemlaani Mfalme wakati akimkimbia mwanawe. Mfalme anajifanya kumsamehe Shimei asiuawe. Anatunza Siri moyoni hivyo anapomrithisha ufalme mwanawe, Sulemani, anamwagiza kumuua Shimei na Joabu.
Halikadhalika Mfalme Sulemani, pamoja hekima toka kwa Mungu, bado ana roho ya tamaa ya starehe na uzinzi kiasi cha kuoa wanawake 300 na mahawara 700. Mfalme Sulemani anafanya anasa za kutisha kiasi kwamba mara anapofariki nchi inagawanyika na kutokea mataifa mawili: Israel na Yuda.
Ijulikane kuwa Daudi na Sulemani walikuwa ni Wafalme wasiotakiwa kuhojiwa na yeyote. Tanzania ni nchi ya kidemokrasia isiyohitaji tabia za Wafalme wa zamani za kusujudiwa. Ni kweli tunahitaji kumheshimu kiongozi wetu kama ambavyo na yeye naye anahitaji kutuheshimu. Lakini tusifike mahali kiongozi wetu wa kidemokrasia akatufikisha mahali pa kutupigisja magoti kama kwamba yu Mungu!!!
Ni jambo la wazi kwamba katika siasa hakuna neno, "matusi" ndani yake. Sanasana katika siasa kuna hoja na kejeli. Zaidi ya hapo ni mtu kutaka kujigeuza Mfalme.
Na hilo la mfalme, Askofu Munga, ndilo lililo kichwani mwa mtawala wetu. Tusikubali!!!
 
Nimesoma chapisho la Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki STEPHEN MUNGA akimpongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jhn pombe Magufuli kwa kuwasamehe William Ngeleja na Januari Makamba na sasa Nape Nnauye

MUNGA ni miongoni mwa Viongozi wa Dini ambao walitawaliwa na hisia hasi badala ya uhalisia dhidi Rais Magufuli. Kwa sababu mwenyewe (MUNGA) amekiri na kufananisha roho ya Upendo aliyonayo Rais MAGUFULI na waliyokuwa nayo Mfalme Daudi na Mfalme Selemani, naamini MUNGA atasamehewa na Mungu kutokana na hisia za chuki alizokuwa nazo dhidi ya Rais.

Mara nyingi sana Rais Magufuli ameonesha Upendo kwa Watanzania wote hata wale waliokuwa na hisia za chuki dhidi yake, kujitokeza kwa watu kama akina Munga na kukiri waziwazi upendo huu wa Rais kwa watu wake ni makusudi ya Mungu kwa wote wenye hisia za chuki dhiki yake.

View attachment 1205300
Askofu amefanya vyema, yanapofanyika mazuri hana budi kuyasifia, kuyapongeza na hata kuyaunga mkono waziwazi. Lkn pia kwa yale mapungufu, ni vyema pia kuyakemea waziwazi isipokuwa tu kwa lugha ya staha. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa maneno yako yenye kumtia Mkulu faraja.
 
Unataka kusema Nape alipokuwa anasujudia Kiumbe, Askofu alikuwa amefumba macho!!!?
 
sikio la shetani halisikii jema
Ukiwa hujiwezi darasani utasifiwa sana kwa jitihada zako na kupata motisha nyiingi za "yes you can" hili linadhihirika kwa Magufuli, yani sifa na mapambio yanadhihirisha uwezo mdogo, sasa anatiwa moyo. " Yes you can".
 
Back
Top Bottom