Baada ya Zitto kuvuliwa cheo cha Unaibu Katibu Mkuu baadhi Wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA walikuwa wakibandika Mabandiko mbalimbali kwenye mitandao wakidhani wao ndio ma opinion makers. Tangu ziara za Zitto zianze wote wamekimbia kwenye mitandao tayari kuvaa vyeo vyao na heshima zao za Ujumbe...
Kwani CHadema wanawatafuta watu gani katika harakati zao? Nadhani ni WanaCCM. Kama ameweza kuwakusanya wanaCCM wengi namna hii kumsikiliza basi anafaa kuongoza Chama maana ana mvuto. Misahafu inasema wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa.
Mbowe na Slaa pia wanawapenda wanaCCM ndio maana kwenye mikutano wanatambua uwepo wao na hata Sabodo anawaunga mkono. Wanademokrasia hawabaguani kwa vyama wanapima hoja na kutetea hoja bila kujali itikadi zao na ndio wito kwa Watanzania wote kuelekea uchaguzi Mkuu. Mkutano wenye wanaChadema peke...
Atleast umetambua kuwa ana elimu. swala la matumizi inategemea kipimo chako unachotumia na mtazamo. Kibaya kwako kwa mwenzio kizuri. Hata wewe wako wengi hawapendezwi na tabia zako. Hata mimi sipendezwi nayo
Mbona wewe pia nakuona ni msaliti tu! Usaliti ni dhana tu! Hauna standards za kuupima! Hata unaowaamini kuna watu wanawaona wasaliti vilevile. Kwa hiyo wewe ni mchina sio? Demokrsia ni wazo la western kama unavyosema na kama tumekubali kufuata huo mfumo then we have to obey and maintain...
Na yeye ni Chadema ndio maana. Au unafikiri Chadema ni unaowapenda tu! Chadema ni taasis ina kila mtu ndani yake. Dont personalize the party for your interest
Mimi naamini chanzo cha vurugu katika siasa za Tanzania na Afrika ni walioko madarakani kung'ang'ania madaraka na ndio hicho hicho kitakacholeta vurugu kwenye Chama chetu sio Zitto. Jadili misingi sio watu
Jibu lako liko katika swali nililokuuliza. Ukijibu utapata jibu lako. Ndivyo walivyofanya mitume na manabii. Umesahau habari ile ya je halali kumlipa kodi Kaisari? ilivyojibiwa?
Taasis ni nani? Taasis iko pale pale. Huu ni mpambano kati ya Wanademokrasia na Wahafidhina wenye lengo la kuiimarisha taasis. Usiipersonalize taasis kwa wanaokuvutia. Taasis ni ya wote. Kitila ni Mwanamkakati so yuko behind screen. Kwanini akaanzishe Chama wakati amechangia mafanikio ya Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.