Mh. Tundu Antipas Lissu atazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook na YouTube Live Streaming.
YouTube Link:
Hon. Tundu Antipas Lissu to address the nation and world on Monday, June 8, 2020 via Facebook and YouTube Live Streaming. Hon. Lissu will use two languages...
Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya tangu Jana wanazingira eneo ambalo Mdude Nyagali - CHADEMA amelazwa. Huyu ni mmoja wa hao watu ambao nia yao haijulikani.
Makamanda mnashauriwa kuwa makini na watu wanao kuja eneo ambalo Mdude amelazwa.
Picha ni mmoja ya walio mzingira Mdude Hospitalini.
Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C.
Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania.
Mh. Lissu anaendelea...
Mh. Tundu Lissu baada ya kumaliza mkutano Congressional Research Services, Washington D.C. leo.
1:30 PM Eastern Time Mh. Lissu atakua VOA Straight Talk Africa with Shaka.
Kwenye Straight Talk AFRICA leo, Mh. Lissu atakua na Wilson Masilingi, Balaozi wa Tanzania to the United States.
MADA...
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.
Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo...
Jumanne, February 5, 2019 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C.
Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
*MAHAKAMA YAAMURU SUGU, MASONGA RUMANDE MPAKA TAR. 19/01/2018*
Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini *Mhe. Joseph Mbilinyi “Jongwe’’* pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa *Emmanuel Masonga* imetajwa leo Jumanne tarehe 16 Januari, 2018 katika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya na...
MKAKATI WA KUMCHAFUA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSPEH MBILINYI “SUGU”
Imeundwa fake account ya tweeter ambayo inaonyesha “SUGU” akimjibu mzazi mwenzake. Ipuuzeni. Ni fake account. Mh. Joseph Mbilinyi hana account kama hiyo.
Hata kwa kuiangalia inaonekana ni fake. Pia, account hiyo haipo hata...
Mapema Leo hii Wakili Msomi na Mweka hazina wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Ndugu Sadock Magai sambamba na Wakili wa Mh. Tundu Lissu katika kesi zake za uchochezi na Mtoto wa Rais Mstaafu Bi Fatma Karume walipata nafasi ya Kumjulia hali Mh Lissu hapa Nairobi Hospital.
Imefutwa leo ambapo Jaji Ngwala ameamua kuiondoa kesi hiyo kwa kukosa kiambatanisho chenye kielelezo cha matokeo. Kesi hii ilikua bado haijaanza kusikilizwa; ilikua kwenye hatua za kutajwa.
Upande wa mashtaka umenukuliwa ukisema watakata rufaa.
Pichani ni wafuasi wa CCM wakiwa wanaondoka baada ya kuzuiwa kuingia kusikila kesi kwa kuwa walivaa nguo za CCM. Wafuasi hawa wa CCM walizuiwa getini na mlinzi na wengine kuondoka, wengine walibaki chini kusibiri.
Tunawashauri wapenzi na wafuasi wa vyama kuto kuvaa nguo za vyama vyao wanapo...
BREAKING NEWS: KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016.
Mkisi-Vwawa, Zella-Mbeya Vijijini, Silinde-Momba na Mwang'ombe-Mbarali zitaanza kuunguruma Jan 14, 2016. Kesi ya Mwambigija-Rungwe itaanza Jan 13, 2016.
Kesi za ubunge Mkoa wa Mbeya mahakama inakua haitoshi. Leo ilibidi watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.