Recent content by Chachii

  1. C

    Gharama ya kujenga chumba na sebule master

    inatosha kabisa mimi nimetumia million 4 kujenga vyumba vitatu sebule jiko na dinning nimebakiza kupaua tu
  2. C

    TV gani itaonyesha live mechi ya Yanga na Waarabu leo?

    azam two live ..'e fm live
  3. C

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    nauli elfu21-25 from dar iko poa tu
  4. C

    Anayepajua Lindi Wilaya ya Liwale Shule ya Sekondari Kiangara anijuze

    acha uongo Mimi muda Huu nipo liwale network IPO mpaka kiangara..shule IPO barabarani ukitaka kwenda town magari kibao..
  5. C

    Anayepajua Lindi Wilaya ya Liwale Shule ya Sekondari Kiangara anijuze

    kiangara ni mbali kidogo kutoka liwale mjini .network IPO nauli elf tano kwenda mjini.uchawi Mimi sijauona ..wilaya IPO kawaida kama wilaya zingine za pembezoni.kama umezoea maisha ya dar utapata tabu kidogo...Mimi nipo huku Mwaka wa Tatu cjawahi kurogwa wala Kuona mauzauza..cha muhimu epuka...
  6. C

    Anayepajua Lindi Wilaya ya Liwale Shule ya Sekondari Kiangara anijuze

    wanaokudanganya hawaijui liwale Mimi nipo huku Mwaka wa Tatu Sasa ..maisha c magumu kiivo na uchawi sijauona..usiogope karibu liwale
  7. C

    msaada tecno p5

    nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki
  8. C

    msaada tecno p5

    naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila program nyingi zipo kwenye card nifanyeje?
  9. C

    Nina tatizo la low sperm count, msaada

    Asante ndugu yangu kwa kunipa faraja,,naamini Mungu atanisaidia
  10. C

    Nina tatizo la low sperm count, msaada

    Poa kaka nitawafahamisha
Back
Top Bottom