Tutoe taarifa kisha tutekwe mbele ya safari hii si sawa, yaani watu watambue flani anakuja na anapesa kadhaa du! Nitasafiri na dola 9995, kwani hizo zitakuwa ziko chini ya kiwango chao.
Naombeni msaada kwa anayejua matumizi mengine ya Ipad ambayo haisapoti kupiga simu wala kupigiwa, ninayo hapa natumia kwenye Fb,Instagram,Jamiiforum,twitter, hivyo tu je nawezaitumia kwa matumizigani mengine?
Mambo vipi mdau naomba nikuulize, huvi Ipad ambayo haisapoti kupigiwa simu wala kupiga, kazi zake ni zipi maana ninayo hapa nashindwa matumizi yake naona kama sina faida nayo naingia fb, instagm, jmiiforums twitter, sasa kazi nyingine ya Ipad ni ipi tofauti na hizo?
Naomba mnisaide uchambuzi hapa ander - over hizi zinamaanisha nini mi nilikuwa najua over 2.5 ni goal 3+ sasa hizi zinanichanganya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.