Recent content by chacha maiha

  1. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Serikali yaiagiza Hospitali ya Taifa kutotoa vibali vya matibabu nje ya nchi kama uwezo wa kutibiwa nchini upo

    Jambo jema kama serikali itaratibu matibabu hayo vyema.
  2. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa tume ya Nape dhidi ya Makonda

    Vyema
  3. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    Imekaa vzuri,
  4. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Tundu Lissu

    Nzuri
  5. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    Mwanga hushinda Giza, watazamaji tukae tuangalie kwani wapiganapo fahari wawili nyasi ndo huumia
  6. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Machache niliyojifunza kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Ipo kazi, tutajifunza mengi.
  7. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    Bahati iliyoje!!
  8. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Epuka smart phone, smart TV na smart girls ili utajilike haraka

    Maisha ni akili na neema zake mungu, sidhani kuna mtu anaweza nunua simu ya laki saba au million hali hajui kesho itakuaje! Wengine ni zawadi tu, ,pia smart phone ni muhimu utatembea na TV muda wote? Smart phone inakupa habari muda wote na mahali popote, mwenye kutaka kuitumia kwa faida atatumia...
  9. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Manji katutapeli Mbagala, Yanga kaeni chonjo

    Yuko poa, mwacheni atumie pesa yake kuiendesha yanga, tujifunze kutoka kwa wenzetu.
  10. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Vyeti vya Darasa la 7 havina umuhimu katika Zoezi la Uhakiki wa Vyeti

    Ni vyema mhitimu kukitunza, pia vyeti vya kuanzia semondafi naungana nae ndo vihakikiwe maana figisu fivisu huanzia hapo
  11. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Waxo zuri pia inaepusha watu kubweteka hasa waliokuwa wanapata madaraka, maana ananua akitoka mwenye ubunge udc unamsubiri
  12. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Aisee Magufuli jitahidi urudishe hizi fedha, pia vyema kwa kudhibiti maadili maana yalishapitea baada ya kifo cha baba was taifa, wenye madaraka walikuwa wanajiamulia tu.
  13. chacha maiha

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili ya bunge kujadili kitendo cha Clouds Tv kumhoji shoga

    Sheria za maadili hazipo hadi tena bunge kujadili hili?
Back
Top Bottom