Recent content by Chacha Kisiri

  1. C

    Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

    Ukitaka kusafiri unatakiwa kuikabidhisha Polisi silaha yako. Hutakiwi kuiacha nyumbani.
  2. C

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu Synthesizer, Nakubalina na wewe kwa yote uliyoyaandika lakini napinga ushauri ulioutoa kwa watumiaji wa Automatic Gear Box Cars kwamba wanapaswa ku-downshift from D to 2 na ku-switch off Overdrive. Siyo kweli kwamba ukishift gear selector from D to 2 na kuswitch off overdrive gari...
  3. C

    Kusitishwa Matumizi ya Tochi: Tutarajie Ajali Nyingi Barabarani

    Tochi zinanifanya madereva wawe na stress muda wote wanapokuwa barabarani. Mfano inapotokea bahati mbaya Dereva akamuona mtu kwa mbali amevaa nguo nyeupe (mfano mtu aliyevaa kanzu) haraka dereva anaanza kupaniki akijua ni Trafick mwenye tochi. Hali hii inapelekea madereva kuanza kufunga mabreki...
  4. C

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Mkuu J33, Wote RATCO na NGORIKA wanafanya route za Arusha Tanga pia.
  5. C

    Basi la Africa raha yapata ajali na kuangukia mtaroni

    Nadhani kuna haja sasa kwa SUMATRA kuhakikisha kuwa only ABS equipped buses zinaruhusiwa kubeba abiria ili kuepuka wheel locking during brake application. Cc: TCleverly, Goodrich, RRONDO, nk
  6. C

    Basi la Machame lanusurika kupinduka

    Una uhakika lilikuwa Basi la Muro? Maana hadi mtoke Arusha na mfike Ruvu mabasi yote ya Muro yanakuwa yamepita Ruvu kwa sababu yote yanaenda safari za mbali na hivyo huondoka asubuhi ya saa 12 kamili Ubungo. Anyway labda kama lilikuwa linaenda kufaulisha gari nyingine iliyoondoka asubuhi Ubungo..
  7. C

    Basi la Happy Nation Lapata Ajali Hedaru Laua wawili

    Kwani Mkuu inapotokea hiyo emergency nyumba ya kupanga ipo hiyo moja pekee?? Nyumba si zipo nyingi! Atahamia nyingine na maisha yanaendelea kama kawaida. Naungana na mtoa hoja mmoja aliyesema kwa maisha ya sasa hivi kukimbilia kujenga wakati huna stable cash flow ni kuzika mtaji.
  8. C

    Basi la Happy Nation Lapata Ajali Hedaru Laua wawili

    Mkuu, MWANZA to DAR hairuhusiwa Dereva mmoja aendeshe gari. Minimun number of drivers kwa safari hiyo ni wawili.
  9. C

    Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

    Nampongeza na namuomba sana tena sana aziache kama zilivokuja 2x2. Asije akazibadilisha kama zile marcopolo alivyozifanya 2x3 wakati zilikuja zikiwa 2x2.
  10. C

    Basi la Kisbo Safari laua wawili Singida

    Kuna yule mwenzeka wa rangi ya njano anaitwa LEINA TOUR naye anaenda KAHAMA. Hawa jamaa gari zao zinatembea ile mbaya.
  11. C

    European cars spare parts

    Mkuu humbleguy nitakutafuta kwenye simu kuna service manual ya gari yangu natafuta, tutaongea tuone kama unaweza kuniagizia kupata.
  12. C

    European cars spare parts

    Mkuu kama tatizo ni Front Brake Solenoid (P1757) basi TCM ni nzima. Front Brake Solenoid Valve ipo kwenye Valve Body ya gear box na kazi yake ni ku-shift gear ratio. May be utufafanulie ukiendesha inakuwaje?? CC: humbleguy, nk
  13. C

    Mabasi ya kichina ni kero kwa wasafiri

    Hivi zile za Ndenjela siyo Yutong Mkuu? Na zile za JM je??
  14. C

    Mabasi ya kichina ni kero kwa wasafiri

    Mkuu zipo pia Yutong za 2*3, vilevile zipo Scania za 2*2.
Back
Top Bottom