Usichokijua ni kwamba hiyo 50000 ni sawa au zaidi ya laki tatu kwa mwezi,imagine chakula,Mavazi,Malazi na kumuuguza ni juu yako.niambie ni nani anayelipwa 300000 kwa hapa mjini (Dsm),ambaye anajitegemea kwa nauli,kodi ya chumba,chakula nk.mwenye uhakika wa kubaki na 50000 kila mwezi!...matumizi...