Recent content by chabby chubby

  1. C

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Wema Sepetu (madame)

    Mungu akuhurumie na akusamehe bure
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna watu hatuna bahati

    Mungu ANAWEZA yote..
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Agano la damu katika mapenzi lina madhara gani?

    Asanteni sn kwa mawazo yenu hasa ushauri wa kiimani mlionipa. Nitatubu na kuongea na wachungaji wanisaidie. Mbarikiwe sn
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Agano la damu katika mapenzi lina madhara gani?

    usiache kurudi kusumilia nahitaji sn kusikia
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Agano la damu katika mapenzi lina madhara gani?

    Habari Jf, Hapo katikati niliwahi kupost maswahibu yangu na mpenzi wangu wa zamani. Kuna kitu kinanitatiza sn naombeni mawazo yenu though i might sound weird.. Ni hivi wkt tupo kwenye mahaba motomoto na mpenzi wangu wa zamani tuliwahi kufanya kiapo cha damu. Tulijikata vidole tukagusanisha...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    oh mamy umeugusa moyo wing am in the same situation mbaya zaidi mm bdo cjapata ujasiri wa kutomtafuta. I wish I wish nimtoe moyon nateseka mnoo dah wanaume hawa
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    hapo kwenye kuomba Mungu aingilie kati ndio nasalije yani..I think i need thus
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    ni kweli
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    Asanteni wote mliotumia muda wenu kunishauri. Mungu awabariki
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    ni kweli sijielewi nahitaji ushauri
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    Habari wana jf. Naombeni ushauri wenu kwani nipo njia panda na maumivu makali mno moyoni. Mm ni binti nilikua na mpenzi wangu tumedumu miaka 4 na mwaka Jana mwishoni alikuja hom kwa wazazi kujitambulisha but suddenly mwaka huu January alibadilika sana na akanipiga stop kwenda kwake akinidanganya...
Back
Top Bottom