Recent content by cha1509

  1. cha1509

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Bamba la mbele la allex bei gan boss? Hila la kwamgu limechakaa kwa kweli Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. cha1509

    Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Kariakoo eneo gani au duka gani mkuu! Ni vizuri kwenda na direction sahihi boss.
  3. cha1509

    Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Maana kuna duka moja tu la anayeuza jumla hapa! So nahisi ni fursa moja wapo nzuri.
  4. cha1509

    Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    15m boss nahitaji niwe nauza jumla na reja reja boss.
  5. cha1509

    Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...
  6. cha1509

    Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

    Nina kamtaji kangu, nataka kufungua stationary hapa manyoni singida, mwenye uzoef na biashara hii naomba A B C zake
  7. cha1509

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Waungwana mbona watu wengi hamuwek mikeka ya sportpesa au mbet?
  8. cha1509

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila una roho ngumu sana we mtu
  9. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Tunasikitika/Ninasikitika sana! Maana sijui kesho yangu pia! Lakini hajatajwa unayemdhania katika andiko langu![emoji3]
  10. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Ya dunia NgoniBoy
  11. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Hakuna anayefurahia kifo cha binadam mwenzake
  12. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Ya ngoswe....
  13. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Umeona bando jipya?
  14. cha1509

    Nyoosha mkono nikujibu

    Hahahaaa
Back
Top Bottom