Recent content by cha unoko majuu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

    Ukipenda boga penda na maua yake falaa weye!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Simpaka wawe na aibu. Ukiwaangalia vizuri wanazo!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wananchi masikini msikimbilie mahakamani, kuna rushwa! Watumieni viongozi wa Serikali kutatua shida zenu

    Labda huyo Jaji, Hakimu, Dipipi kama hawajitaki. Maza ameshagundua watendaji wake hawawasaidii wananchi wa hali ya chini ambao ndio wengi. Wee mpaka Maza anampigia simu Makonda laivu mkutanoni huoni kuwa anafurahishwa na ayafanyayo. Ziara ya Makonda imelidhihiria taifa kuwa hawa viongozi wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kada aliyefukuzwa kwa kutomheshimu Rais Mwinyi adai kuna jambo linafichwa kujiuzulu kwa Waziri Simai

    Yes tena kidogo wala hakidhuru tatizo banzi!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Mia ni mingi tuombee ipunguzwe angalau iwe mitano jamani!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kada aliyefukuzwa kwa kutomheshimu Rais Mwinyi adai kuna jambo linafichwa kujiuzulu kwa Waziri Simai

    Halafu wanashangilia na kutangaza Chadema kuna mgawanyiko. "toa boriti kwenye jicho lako kwanza kabla ya kulaumu kibanzi kwenye jicho la mwenzio"
  7. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

    Ismail Haneiya na Hassan Nasralla 👍👍
  8. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashambuliwa na kukosolewa kila kona mitaani kwa kupendekeza kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo

    Hivi umelipwa kiasi gani utugawie chawa mzee weye
  9. C

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Unatuuliza sie siuende Ufipa au nyumbani kwake ukaonane nae umuulize. Usitutafute undani chawa weye!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!

    Lisu ana kichwa kilichosheheni madini. Mungu amlinde aisee.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

    unauliza jibu!
  12. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuanza uunganishaji Mitambo kutoka Bwawa la Nyerere (JNHPP)

    Wanafanya kazi Tanesco?
  13. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuanza uunganishaji Mitambo kutoka Bwawa la Nyerere (JNHPP)

    Unganisheni hata kwenye bwawa la Karume pumbavu kabisa nyie tumechoka na porojo zenu! Kenge nyie!
Back
Top Bottom