Mi nilipo sijielewielewi yaani Nina Deni kubwa kwa upande want biashara imefeli mpk vyanzo vingine vya mapato vimekata na Kila tarehe 3 marejesho mpk Leo hii sijafikisha hata laki katika 4,800,000/= nimetoka home mapema alfajir lkn nastuka Sasa ivi nipo kituoni tu sijui naenda wapi?
Lkn hao wote ni wakazi wa ukonga na wanasifa za kupiga kura sio ikawa watu wametoka kimara na mbagala wanajaza uwanja uchaguzi ukipita matokeo yakitoka tunaanza lawama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.