Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,504
2,000
Viongozi wa kitaifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mwenyekiti Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dr Vicente Mashinji na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh Halima Mdee wakihitimisha kampeni za kumnadi mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chadema dada Asia Msangi

Kwa umati huu ni salamu kwa Mwenyekiti wa ccm taifa kuwa upinzani kupitia vyama vya siasa ni imani iliyojengeka kwenye fikra za wananchi

Upinzani haumalizwi kwa nguvu ya dola, nguvu ya dola hunyamazisha tu upinzani lakini siyo kuufuta, ili mpunguze nguvu ya upinzani tendeni haki kwa makundi yote ya kijamii bila kujali matabaka

Ccm wajitafakari siasa zao za hovyo namna zinavyogawa taifa kwa misingi ya kisiasa, hali hii inaongeza upinzani dhidi ya ccm na serikali kwa ujumla badala ya kuupunguza nguvu

Chama kilicho na rasilimali watu wengi namna hii utasemaje kinakufa! Akili za kujipa faraja hewa kwa Viongozi wa ccm na serikali iliyopo madarakani kuwa upinzani umekufa ndio zinawafanya washindwe kuona jambo katika uhalisia wake

Tunaomba mpambano huu wa Chadema vs Ccm uwe wa kisiasa na siyo mpambano wa vyombo vya Usalama vs Chadema kama ambavyo tumeona chaguzi karibu zote zilizopita

Rais Magufuli simamia haki ya wananchi ya kuchagua chaguo lao sahihi na siyo vyombo vya dola viwe sehemu ya haki hiyo kuchagulia wawakilishi wao kwa niaba yao kama ambavyo imezoeleka chaguzi nyingi zilizopita
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,864
2,000
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
 
mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,807
2,000
Sina neno zaidi ya kumtakia ushindi Mh. mtarajiwa Asia Msangi.

Huyu mkurya hana jipya maana hawezi achia ubunge akiwa na kaki halafu arudi tena na kijani kuuomba tena ubunge ule ule sehemu ile ile kwa watu wale wale.

Ulipewa ukauacha sasa ngoja apewe mwingine wewe kalime matembele mabondeni huko na ndugu zako,shubaaaaamit.
 
Umecomment hoja ya msingi sana mkuu
 
Hawa ccm hawana uwezo wa kushinda hizi chaguzi labda kwa kutumia mtutu wa bunduki ndio ambacho wanaweza, lakini kwa maamuzi ya wananchi ccm hashindi
 
silent kills

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
568
1,000
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Ccm ya ccm imevua nguo za kijani wameaa nguo za polisi na wamekabidhiwa kirungu na vituo vya polisi.vinginevyo ccm ilishatoweka zamani sana...life span yao ilikua 40yrs only ndo maana nguvu wanayotumia kuuwa upinzani umebaki kwenye vyombo vya dola na wao wakabaki ndo wachoraji wa njia itakayotumiwa na polisi na nec..cku tukiamua kudil na nec na polisi vituoni ccm itafutika
 
mwakijembe

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
1,451
2,000
Tatizo ni kuwa hawatamtangaza, then what next? Bobi Wine is the solution! and then the International community comes in!
Ww ndio umeongea jambo la maana. Bila timbwili hakuna jipya litakakotokea. Jumuiya ya kimataifa inaona, lakini wanaodhulumiwa wako kimya!
 
mwakijembe

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
1,451
2,000
International community my feet
Yap, hao hao ndio wameazimia Museveni atolewa madarakani kwa njia yoyote. Stay tuned. Raia wanaoonrea hawana silaha, basi watawezeshwa kuwatoa mafedhuli madarakani.
 
zyogo

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
378
500
wanasiasa ni walewale...haingii akilini ati serikali inalipa wanao ipinga tena kwa ruzuku..kwa posho murwa zaidi ya watumishi...kwa pesheni kubwa zaidi ya watumishi...kwa mikopo mikubwa na nafuu...mbaya zaidi aliyekuwa huku kaenda kule....nimeiona hiyo nyomi labda mimi sikuwapo ndo kijuju.
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,117
2,000
Hali kama hii ndio inawafanya CCM washindwe kuelewa wafanye nini kuimaliza CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Nilishwaambia kupitia hapa JF kuwa wanachokifanya kwa lengo la kutaka eti kuua upinzani hakina tofauti na mtu anaetaka kuua nyoka kwa kuponda mkia badala ya kichwa.

Watakachofanikiwa ni kuchelewesha tu safari ya mabadiliko lakini sio kukwamisha safari hiyo kufika mwisho.Safari hii kufika mwisho ni swala la muda tu na si vinginevyo.

Kwa kifupi, CCM wamepaniki, wamechanganyikiwa, wamejawa hofu ya kupoteza dola na zaidi wako very frustrated kiasi kwamba wameamua hata kama watatoka madarakani basi watoke wakiwa wamefanya kila aina ya vurugu, vituko, uovu, n.k kwani wameshajikatia tamaa na hivyo hawaoni hasara kufanya lolote maana hakuna hasara kubwa kwao kama kupoteza dola.

Yaani walichoamua ni kama ni yale ya kwenye soku kuwa hata kama mnatufanga, lakini na sisi chenga twawala.

Bahati mbaya wao chenga zao ni Polisi, NEC, Wakurugenzi wa Halamashauri, n.k.
Mimi nawafananisha ccm na Wamisri enzi za Farao...

Wamisri waliwatesa waisrael vya kutosha, mwisho ukombozi ulipatikana na wamisri waliangamizwa kwa kiburi chao..

Mwisho wao unakuja tu, na kiburi walichonacho kitawatokea puani. Wataua na kuwapoteza wapinzani lakini upinzani hautakufa mpaka ukombozi utakapopatikana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom