Recent content by cetterhutter

  1. cetterhutter

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Mbegu fupi zipo nyingi sana sokoni hasa mm nilinunua mwanza nimeanza nimiche 100 sasa imefikia kwenye mauwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cetterhutter

    Naombeni msaada: Papai zangu zimefikia hapa

    Kwanza pole na majukumu ya siku nzima! Wadau katika kilimo nimeamua kujiwekeza katika kilimo cha papai nilinunua mbegu za pakiti na za kisasa miche niliiweka shambani tarehe 20/12/2019 sasa yamefikia hapa nimeweka mbolea mara 2 tu APK. Sasa naomba wazoefu mnipatie ushauri na maelekezo kitu...
  3. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    stroke, Asante ndugu kwamchango wako nashukuru sana
  4. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Nikweli ndugu asanteni sana
  5. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Nashukuru sana ndugu yangu kwamaelekezo hayo
  6. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Sawa bos unguja maeneo maeneo gani naomba kujua ili siku nikienda isiwe tabu sana kupata maduka
  7. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Kama Azam nazingine zinaishia unguja nikifika pale inatakiwa nipande boti gani naomba unielekeze vizuri bos wangu
  8. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Kwahiyo inatakiwa nipande boti gani
  9. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    jwhizzy, ]Asante ndugu nikifika pale nasema nataka boti yakwenda pemba au boti yoyote iluyoko pale inaenda pemba
  10. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Bos mbona nimeweka nahitaji kwenda pemba lengo nikununua laptop nasimu used nasikia kule nibei lahis sana kuliko dar
  11. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Nahitaji kwenda Pemba lengo nukununua laptop nasimu used nasikia bei nichini zaidi ya Dar.
  12. cetterhutter

    Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

    Nakushauli hiyo pesa tafuta mtu anayeenda China au Dubai mwagize smartphone used Kama iPhone 6na 6+ au Samsung kama hiyo pesa unaweza ukaletewa hata 6pc au zaid itategemeana zikifika zitangaze kupia magroup ya biashara ya Facebook , Whatsapp, Instagram nk utakuwa ukipata mteja anafuta mwenyewe...
  13. cetterhutter

    Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

    Naombeni mnieleweshe mliowahi kufika Pemba nahitaji kwenda huko kununua vifaa vya umeme used kama laptop na simu. Swali langu kwenu: Zile boti zilizo pale Posta ya Zamani zinazoenda Zanzibar kule zinaenda kushushia Zanzibar ipi? Naomba nijue kama zinashushia Pemba au hapana, na kama siyo...
  14. cetterhutter

    Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

    Kwani ikiwa nzito ndiyo ukiidondosha inawaka?
Back
Top Bottom