Recent content by CES

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na mjenzi wamehitajika kwa jengo la flat

    Nitumie Whatssapp yako kupitia messeji
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na mjenzi wamehitajika kwa jengo la flat

    Nitumieni Whatsapp yenu kwa messeji
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na architect

    24 M ni gharama ya flat moja. Hii ni building, ina contains flat.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na architect

    Nyumba ya ghorofa mbili haitagharamia 24 M
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na architect

    Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi. Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili. Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mhandisi na mjenzi wamehitajika kwa jengo la flat

    Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi . Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili. Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande mwingine...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Partner kwenye Pamba

    Sasa niko nje kujifunza kuhusu bei za drop irrigation. Partner ajue kuhusu kilimo na namna ya kutafuta soko
  9. C

    JamiiForums Tanzania Partner kwenye Pamba

    Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo. Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine. Nitumie whatsapp yako
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali Yangu ijitathmini, tunapopoteza Marafiki Kama Denmark tukijidanganya ma Wachina tunashida

    Nimekuelewa ndugu, unasema kweli , lakini sasa wewe umejifunza nini ? Ninamaanisha, Denish, Wa china, Wazungu, wao wote, watapita, wewe vipi utabadilika mambo kwa ajili ya watu wako weusi ? Wewe ni mtu mzima, si mtoto wakati wa ukoloni, si mchina au danish kuamua kwako. Don't be like those...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

    Wewe ungeweza kufanya plan yake, kama mimi ninakupa size ya each room, na picha ya muonekano ningetaka ?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ya usanifu na mapambo

  13. C

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya wakati unafikiriaa kujenga, yatakusaidia

    A last one https://www.jamiiforums.com/threads/ningetaka-kuishi-kwenye-aina-hii-ya-mtaa-na-ya-nyumba-hizo-na-wewe-weka-hapa-picha-ya-aina-ya-mtaa-ungetaka-kuishi.1893437/#post-39749585
  14. C

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya wakati unafikiriaa kujenga, yatakusaidia

    OK, niambie, unafikiri kuhusu post hizi zangu Ningetaka kujua maoni yako. Unafikiri kama nchini tunaweza kufanya hyvio na bei bora ? https://www.jamiiforums.com/threads/mambo-ya-usanifu-na-mapambo.1898807/#post-39874294...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ya usanifu na mapambo

    Clean and Order
Back
Top Bottom