Mambo vipi wakuu, naombeni msaada juu ya hili. Nina rafiki yangu mmoja kamaliza form 6, 2017 na akawa amepata CCB ya Pcb na alikuwa anatamani sana kusoma chuo cha KCMUCo, ila kutokana na lile sekeseke la kufungiwa akawa amegahiri kwenda chuo kingine na akawa anajitolea kwenye shirika moja lisilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.