Cephalosporins
Member
- Jul 25, 2018
- 7
- 2
Mambo vipi wakuu, naombeni msaada juu ya hili. Nina rafiki yangu mmoja kamaliza form 6, 2017 na akawa amepata CCB ya Pcb na alikuwa anatamani sana kusoma chuo cha KCMUCo, ila kutokana na lile sekeseke la kufungiwa akawa amegahiri kwenda chuo kingine na akawa anajitolea kwenye shirika moja lisilo la kiserikali. Na lengo lake ilikuwa ni kusoma course mojawapo kati ya hizi
- Physiotherapy
- Optometry
- Prosthetic and Orthotic
- Doctor of Medicine