Recent content by centino

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anaumia wakati wa tendo

    Tumia blueband...ipake unapotaka kuchomeka mtarimbo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester ina matatizo gani?

    Gari lazma ile mafuta..hakuna gar inakula mchemsho..mkuu forester subaru ndio habar..ukiweza kununua gar mafuta na spea havitokushinda
  3. C

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Hii nayo n mihemko vile vile...shule za private tumezoea kuckia wanafunz wao wameenda likizo nchi fulan..watoto wanakula vizur..umeme ukikatika jenereta linawaka...walimu wengi tena mahili...sasa hiyo laki tatu itatosha nn...hii ilitakiwa ichukuliwe kama challenge serikal ifanye mabadiliko kwe...
  4. C

    JamiiForums Tanzania TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    Naamin ww pia hauna weledi wa masuala ya rasilimali watu ndio maana haujui madhara ya kilichofanywa na makonda kwa utendaji wa watumishi.
  5. C

    JamiiForums Tanzania TUCTA yamvaa Makonda kwa udhalilishaji wa Wafanyakazi

    Sheria za kaz ziko wazi kabisa na zinatoa miongozo thabiti ya namna ya kuwawajibisha wafanyakazi..kitendo alichokifanya makonda kinapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anaeamin katika utawala bora wa sheria..nafikir makonda hana weledi katika masuala ya utawala...ni vizur watu wanaoteuliwa kuongoza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Girls ogopeni wasifia fat booty

    Hahahaha mambo ya haja:-)
  7. C

    JamiiForums Tanzania #HapaKaziTu: Mbunge U. Salum anyeshewa na mvua, akataa kutumia mwavuli, akoswakoswa na Radi

    Nafikir huko n kutafuta sifa kijinga...kulowana ikiwa mwamvuli upo Haina maana Na nikukosa utashi wa kibinadamu...alifanya vyema sana kuwatembelea lkn hovyo sana kukataa kutumia mwamvuli..
  8. C

    JamiiForums Tanzania Makontena yaliyokamatwa jana na TRA yabainika yalilipiwa kodi

    Nafikir haya maigizo mapya yanatotokea nchin yawajumuishe waigizaji wakongwe kama jb Na ray kigosi..maana waigizaj wote wamekosa weled..
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TRA Geti no. 5 waswekwa ndani mchana huu

    Naona Bado tunaendelea Na uvuvi wa dagaa...Na wavumao baharin c dagaa tu Na papa wamo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Hofu yangu n kumpaka wanja kabla hajawa mwanamwali
Back
Top Bottom