Recent content by Centia2

  1. Centia2

    Mipango ya siri namna ya kuimaliza dunia imeanza kutamalaki

    Inaniuma sasa sasa,tena mno pale mke anafikia hatua ya kulazimisha niondoke,nimwachie watoto wake(eti wake) awalee mwenyewe, Unamweleza tena kwa upendo na upole kuwa watoto bila wazazi wawili si watoto kamili,basi anakuona king'ang'anizi.Anaamua kuwahamisha watoto nyumbani(nyumba ya kupanga) ili...
  2. Centia2

    Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Daa namuomba Mungu anisaidie na huu ualimu wangu nisijeachwa na familia yangu!!
  3. Centia2

    Tatizo la wanaume kunyimwa unyumba na wenza wao kwa sababu za kuchelewa au kushindwa kutimiza ahadi zao

    Ukwel hali ni mbaya,tunateswa,, mimi sawa sina nguvu, lakini napimiwa kwa wiki mara moja tena anakupa huku kanuna! Sawa pesa sina kwasasa,lakini je kweli hakuna mambo niliwahi kukufanyia?? Sawa sipo romantic,je wewe unefanya nini kuni-turn on?? mnazungumzia 50/50 lakini likija suala la...
  4. Centia2

    Ukipata kazi kwa Mhindi, Mwarabu au Mswahili usitangazie watu kuwa una ajira

    Daa hata serikalini kwa hawa wenye vima vya kuanzia ni taabu tupu,mtu unatakiwa utokee kila siku ukiwa nadhifu,bado nauli na unakuta mtu kafanya kazi miaka 8+ bado habakiz 500,000/-.Huwa najiuliza sana hivi serikali inajua kuwa kila mtu anatakiwa aishi s chini ya 10,000/- per day! Bado alipe...
  5. Centia2

    Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Daa bro nipoze kidogo,maumivu yake nashindwa kuyavumilia!!
  6. Centia2

    Nilichomfanyia yule mama hawezi nisahau

    Hiyo inaitwa akili ya kijerajera! wakati mwingine tunalizimika kuzitumia
  7. Centia2

    Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Daa nina makosa hadi najiona paka,, Kuchagua kutanyia kazi wilaya ya nyumbani(unaogopa kuchanganyikana) Kujiunga vicoba,saccos kuoa kwa kuvuta/pasi kushirikisha kuoa mapema Kukopa pesa ndefu Kubeti pesa ndefu tena kwa wachina(mbaya mnoo)!! Kumpa uhuru sana mwanamke(mke wangu) Kukubali...
  8. Centia2

    Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

    Daa binafsi naanza kuhisi kitu siyo cha kawaida(kizuri/kibaya) kwa sisi tuliozaliwa machi&Aprl. Mi pia nilizaliwa 31/03/.... lakini katika docs zangu huwa natumia 01/04/....(naomba pia mnishauri kama ni mbaya kiroho/kidunia,,, Basi bwana,pia binafsi napitia kipindi kigumu kama mtoa mada...
  9. Centia2

    Mwenye kuelewa hili

    Anajichukukulia sheria mkononi!!
  10. Centia2

    Mfahamu kiundani mmiliki wa Tanzania

    gugo wana hungo wa kukujibu chochote ili angalau usiwaone hawajui!!
Back
Top Bottom