Recent content by celincolyn

  1. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    Ila nchi hii mpaka ikombolewe itchukua muda kweli. Yaani mtu, binadamu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia eti mikutano ya hadhara ya vyama pinzani kuzuiliwa? Ama kweli vilaza ni wengi kuliko tunavyofikiria. Japo tumeficha ID zetu lkn tunaonekana tulivyo kupitia hata maandiko yetu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Si kwmba tumechoka na misaada sema tumechoka kufikiri tunadhani kuonea watu ni ujanja. Kama ww si kilaza hebu niambie una faida gani ya kuishi hapa Tanzania kama huruhusiwi kutoa maoni yako na mawazo yako ambayo yapo kikatiba kisa tu kuna sheria ya mitandao. Acha ukilaza fungua akili ndugu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natamani nikingo'e kibamia changu

    tafuta vitoto vidogo tu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yameanza Kunyonyoka Sasa

    Nimepapenda hapo ti ya wengine yananyonyoka badala aseme manyoya yangu yananyonyoka!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Tatizo umemponda kichwa hatuwezi kujua kichwa kilikuwa kinafananaje. Kwa ufupi nyoka wenye sumu kali wana vichwa vya pembetatu na wasikuwa na sumu wana vichwa vya mviringo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Hata mm nilikuwa namshauri aoe wote si ana uwezo?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    Ktk wapuuzi anao ongelea Jenerali nafikiri ww ni mmoja wao. Kuna theory moja nafikiri ni ya somebody Jeriko Nyerere kwamba kama ukiona matendo na maneno yako watu hawayaelewi mshukuru Jah, lkn siku ukiona wameanza kukuelewa jitafakari ulipo anguka maana umeanza kufikiri kama wao.Kitu kama hicho...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna athari ya kuwa na msichana wa kazi ukiwa mseja?

    Acha ushamba ndugu yangu uvivu wala si sifa ya kuja kuutangazia umma hapa! Unapaswa kufanya bidii kufanya usafi wako na mazingira yako hata kama una mfanyakazi ina maana hata nguo zako za ndani akufulie? Shame on you guy! Ukitaka umuue Mjapani bila sumu mwambie yeye ni mvivu na ndio maana nchi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    Kwa kweli inabidi operation ondoa Viroba Tanzaina ifanyike! Huyu nayesijui kapewa vingapi ili alete upuuzi huu hapa jamvini. Ama ukistaajabu ya Lowasa utaona ya Ngeleja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kumuoa: Inabidi ufanye nini kujua kama ni wife material?

    JF bana eti Jagi la Tokyo ndo lipi hilo jamani mm mgeni eti!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa mara ya kwanza kata yote ya Mihingo wilaya ya Bunda kwa Wassira vijiji vyote vinne, vitongoji karibu vyote vimeangukia Chadema.Nasema kwa mara ya kwanza kwa sababu haijawahi kutokea toka nchi hii iingie katika mfumo wa vyama vingi. Ama kweli ESCROW imesaidia sn kuwatoa kamasi hawa mburura...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure

    Sijakupata vizuri mkuu, eti CCM watoka hadharani wafanye nn? Watu wako busy na biashara tena watoke nje waje waharibu mambo! Ama kweli kutaka kumwambia mtu wa CCM kusema asicho kiamini na kutenda asichokisema ni sawa na kumtongoza mama mkwe mchana kweupe bila chembe ya pombe kicwani.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kukutana na wanahabari Makao Makuu ya CHADEMA

    safi sana hiyo.
Back
Top Bottom