Natamani nikingo'e kibamia changu

Natamani nikingo'e kibamia changu

Umesahau kusema unatamani kujitoa roho na uoni sababu ya kuendelea kuishi.....

sasa huo kaka utakuwa ujinga yaani kisa kukosa ile kitu inamesa nyenzake(kwa kimasai) nijitoe roho basi kama ndivyo ilivyo mapadri na masissta wasingekuwepo duniani
 
Hiviii likuubwa na hicho kidunchuu unachodai kazi yake c 1???

ndio lkn tofauti ipo kwenye matumizi tu wanawake wengi wanapenda sana atleast kitu kiwe medium haka kabamia ni kabamia kweli kweli kama ka mtoto vile aisee ni shidaah rafiki
 
Hicho ndicho nimekiona kwenye akili yako..

mimi sikatai na wala sina sababu ya kukataa mkuu ndio maana nikadondosha uzi huu ili nipate ushauri kama ndivyo ilivyo nitachukua hatua tu nikawaone watu wa saikolojia,thnx.
 
Kila nikimpata msichana kibamia changu hicho kinaelea na kuniaibisha, wana JF siyo utani, imefikia hatua naona hakuna sababu ya kuoa maana ni aibu bin aibu, nikifanyeje hiki kibamia?

Halafu kwa bahati mbaya napata wasichana wenye masinia na mabeseni tu!
tafuta vitoto vidogo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom